Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

huwezi kuacha hata uende wapi . Wewe subiri kukongewa mke wako tu na hutokaa upone maisha
 
Tafute mwanamke umuoe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lazima iwe chumvi ya mabonge bonge ?
 
Ila punyeto inaachika niile tu kujiendekeza na kujikaribisha katika vishawishi tu
 
Yan Mimi nishajikatia tamaa nishadhalilika kwa madem zaid ya watatu yan tako 5 wazungu hao lakini sikomi kuacha, sitasahau dem wangu witty siku aliponililia kama mtoto mdogo akiniuliza tatizo nini yan dah mtoto alilia adi akawa mwekundu uso mzima.

Yote haya namlaumu patron Raphael alikua anatuhimiza tupige puli skull yaina madhara. Ila namshukuru Mungu nimemgeukia Yesu sasaiv naimani nitashinda.
 
Wewe umelogwa sio bure nyeto ninayoijua mim haijawahi kuniangusha na nikilala na mwanamke lazima aniulize wewe mbona unanito.m.b.a hivo unataka kunisogeza kizazi? Hili swali mpaka nimelikalili kichwani kwahyo nyeto haina madhara ni saikolojia yako tu ndo inayokuambia kuwa nyeto ina madhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kutumia pia ukikosa ya mabonge

Jr[emoji769]
Mshana sasa kwa mfano. nina nguvu zangu waganga wa kienyeji za kunisaidia manbo yangu hapa duniani siunajua fitina nyingi za wanadamu , vp nikiogea hiyo chunji na hizo dawa zangu si zinaisha nguvu?
 
Hii ki2 inatakiwa ujikane nafsi kabisa n kazi sana kuacha Paka pilipili kweny Sehemu nyeti na mikononi
 
Nyeto sio nzuri by the way
Inajufanya usifurahie na usione utamu wa ngono
 
Kuna jamaa yangu enzi hizo tupo o level alikuwa akiiona sabuni tuu kitu kinainuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…