Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Ni miaka 18 sasa napiga kama kawa
 
Kuna hii app itakusaidia kama uko whatsapp nikutumie link udownload.
 
dawa ya kuacha puli ni kutafta dem mkaliiii ambae anakupendaaa na kumshughulikia vizur ad asahau ma ex wake wotee
 
Ngoja waje wadangaji muwaeleze kwanini mnawakosesha liziki kwa kupiga punyeto ili hali wao wapo kutoa hiyo huduma?
 
Duh miaka 18 sasa
 
Heri ya Mwaka Mpya wazee wa kugegeda na kugegedwa!!

Kama mada inavyojieleza hapo juu

Nlikua mwanachama wa CHAPUTA na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHAPUTA kwa miaka 13

Kwa siku nlipiga puli hadi goli 5

Hali hii ilinitesa sana kwa maana nikidinda kidogo tu naingia chemba kujifyatua

Lakini kuanzia mwaka Jana 2017 mwezi wa 12 mwishoni nimetembelewa na mama mtoto wangu anaeishi mkoa Jirani

Daaah tangu wakati huo hadi sasa yapata wiki ya 3 sijapiga puli nafikiri hii ndo njia nzuri ya asili ya kuacha nyeto,kaa na mwanamke karibu,ukihisi mzuka wa kujilipua usitafute soap au mafuta mfuate mwanamke wako mwombe game

Ukipiga game wiki mfululizo ule mzuka wa kupiga nyeto unaisha taratibu hatimaye unaacha kabisa

OA ili kuachana na Punyeto
 
Vitu vinavyo patikana humu[emoji160] haviwezi kuniacha salama
 
Inna umeona?
Mada za kujenga ndoa ndio hizi sio unashinda kwenye thread za mshana anatuma picha za nyoka nyoka na tunguli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawaza mshana akiona hii comment si utarogwa jamaa angu??
 
Week 3 ngumu sana kusema umeacha nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…