mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Hakuna kitu chenye nguvu kama nia na maamuzi juu ya jambo fulani. Weka nia kisha amua kwa dhamira ya dhatiAsante nawezaje kuondokana nalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu chenye nguvu kama nia na maamuzi juu ya jambo fulani. Weka nia kisha amua kwa dhamira ya dhatiAsante nawezaje kuondokana nalo
hahaha...kwakweli ni chama cha usiri mnooo...kuna watu wanapiga lakini Kimya Kimya ....wanajikausha hao ...utadhani vile sio wanachama""...Pole sana hili gemu linachezwa kwa makin ukiruhusu likuzoee utajuta... Kwa kifupi huna tofauti na mvuta bangi au mtumia madawa...
Hiki ni chama kinachoongoza kwa usiri baada ya freemason...
Dogo badilika haraka iwezavyo...
hahaha...guru"" msaidie mwenzio tafadhali "..Hili ako si tatizo la kawaida.
Ni tatizo la kiroho aiseee, limepitiliza mipaka ya kawaida.
Bro ngoja nikwambie siri moja, kuacha uraibu wowote ni rahisi sana. Jambo la kwanza kubali kuacha kwa nia kabisa, pili jua mazingira na vitu yanayosababisha uraibu kisha kaanavyo mbali, tatu pray.Asante nawezaje kuondokana nalo
Aombewe kwanza huyu,.ndio aoe..dawa yake ni kuoa tu
He he he hehahaha...guru"" msaidie mwenzio tafadhali "..
Aombewe kwanza huyu,.ndio aoe..
Dooh[emoji22]...vijana tunateketea kwa "self-service"hata akioa itabididi wakaoge wote na mkewe, vinginevyo hili pepo halitamuisha huko bafuni
Unaweza kukuta hata Mbunge nae ni mwanachamaHiki ni chama kinachoongoza kwa usiri baada ya freemason.....
Unaweza kukuta hata Mbunge nae ni mwanachama
😀😀😀😀😀
Dooh[emoji22]...vijana tunateketea kwa "self-service"
Labda ukimwi tuu ndio haileti,..lakini ina gharama ya mwili na roho,..wanakwambia haina gharama,haileti ukimwi , na ukitaka muda wowote unaipata huduma ngoja waje members wa hii game utawasikia