Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Pole sana hili gemu linachezwa kwa makin ukiruhusu likuzoee utajuta... Kwa kifupi huna tofauti na mvuta bangi au mtumia madawa...

Hiki ni chama kinachoongoza kwa usiri baada ya freemason...

Dogo badilika haraka iwezavyo...
hahaha...kwakweli ni chama cha usiri mnooo...kuna watu wanapiga lakini Kimya Kimya ....wanajikausha hao ...utadhani vile sio wanachama""...
 
Asante nawezaje kuondokana nalo
Bro ngoja nikwambie siri moja, kuacha uraibu wowote ni rahisi sana. Jambo la kwanza kubali kuacha kwa nia kabisa, pili jua mazingira na vitu yanayosababisha uraibu kisha kaanavyo mbali, tatu pray.

Kuna aina mbili za uraibu wa kingono ( normal sex or chaputa). 1. Uraibu wa kimwili au kihisia, mara nyingi hii inatokana na kujiendekeza au kujitakia. 2. Uraibu wa kiroho, hii inakuwa more spiritual na huwa huwezi kujizuia kabisa kunakipindi unataka kuacha lakini huwezi kabisa. hii inahitaji sala na maombi.
 
Nenda kwa Gwajima akuombee, vinginevyo miguu itaota matege
 
hehehe... pole,kwa upande wangu bado kidogo niwe kama wewe.. nikajiongeza na kujipa TIBA mapema sana...

NB;SIJAWAHI KUWA MEMBER WA CHAPUTA
 
Back
Top Bottom