kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 613
- 791
Nanajamvi niko Serious kwa jambo hili, kwani nimekuwa muhanga wa Ngono hii kwa takribani miaka 11 sasa tangu nasoma F2. Sasa najiona kama nimeathirika na kazi hii kwani hata kama niwe na demu kwa siku kadhaa gheto ila lazima nianzie kwanza kwa kujibusti kwa Puchu then ndio dudu lipihe gia. Pia nimekuwa pia lazima nikiwa na demu lazima nistue na VIAGRA kwanza bila hivyo kimoja tu chali.
Sasa naombeni msaada wenu je naweza kuacha hii tabia kweli? Je kuna dawa ya kuacha hii kitu?
#CHAPUTA MSAADA WENU PIA NIMEAMBIWA HUMU MPO NA HICHI CHAMA ETI....
Ps: PUNYETO NA SI PUNYETI SIMU ZA KUFUTA HIZI LOOH..