Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Naweza kusema kama nimeshajishindwa vile, hii yote ni kwasababu kwa miaka 17 sasa nimekuwa napiga selfie! Dah hii hatari, niliianzisha hii mada kwa lengo la kupata mawazo mbali mbali toka kwa members wenzangu, binafsi kila siku huwa nasema kesho nitaacha, lakini kwa leo hii siku ya tarehe 15 Jul 2017 natangaza rasmi kuacha selfie. Na kwa members wenzangu nawashauri muache, kwani ina madhara makubwa sana, madhara niloyapata mimi ni moja ya kama nikipewa papuchi hata sahivi nina uwezo wa kutupia hata vitano, lakini nikitoka hapo huwa nalala si chini ya masaa ma4.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Chief ulifanikiwa kuacha au ulikuja kurudia tena!
 
atudanganyiki....sisi na CHAPUTA damdam
Punyeto itakufanya udharaulike....ctasahau mwaka Jana 2017 nlgombana na demu wangu na kila mtu alibaki na Mambo yake...lakin athari ya stress zilinifanya nipige punyeto Sana mpaka baadae ugomv ulipoisha nkaonana nae ila akaanza kusema nimekua na kibamia...niliumia kisaikolojia Sana na najitahid kuacha hizi ishu co nzur hata kidogo!!!kwa sasa naona naweza kuvumlia na kufanya mazoez kwa wingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuangalia picha/Video za ngono ndiyo Chanzo kikuu mimi nilitafuta chanzo cha mimi kushindwa kuacha mchezo huo nikagundua kuwa Nisipoangalia hizo video na kuwa kawaida tu! Ila nikiingia kwenye Hizo video ndiyo napata vichocheo vya kupiga Nyeto Nikajiwekea masharti ya kutoziangalia hizo Picha!/Video na baada ya kufanya hivyo mpaka sasa nipo huru sana ila ni baada kuteseka kwa muda mrefu najua Styles zote za Nyeto.
Porn star gani fundi kwako uliekuwa unapenda kumpigia nyeto?
 
Hakikisha kila ukilala uwe unaota ndoto nyevu japo mara tatu kwa usiku mmoja itakusaidia Sana.
 
Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?
Uza smartphone baada ya miez 3 had 4 uje na mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nina miaka 29, ni baba wa familia ya watoto wawili nilianza kupiga punyeto mwaka 2008 baada tu ya kubalehe nimejitahidi sana kuacha tabia kwa kufanya mazoezi ya nguvu, hata kuingia kwenye maomba ya kufunga na kutubu lakini nilishindwa nashukuru nimeacha rasmi mwezi wa kumi 2018 baada ya kuugua kwa kuumwa na (pumbu) korodani.

Maumivu ya korodani ni makali sana, bora mtu akupige ngumi ya uso maumivu yake yanapoa mapema kuliko ya korodani, kwa aliyewahi pata hili tatizo hawezi kuumiza kichwa kujua namaanisha nini, watu wengi walinishauri niende hospitali nipate tiba waliyodai itaabatana na upasuaji, niliogopa sana na kujutia kupiga punyeto miaka kedekede wakati nina mke wangu mzuri,

Lakini ndo hivo tabia ni kama ngozi huwezi kuibadilisha, mkewangu alipotoka kidogo siku tatu tu lazima ningeingia bafuni nakupata burudani murua bila kuombwa pesa au vocha na wadada wa mtaani, lakini pia magonjwa kama ukimwi niliamini yasingenisogelea katu,baada ya kuumwa korodani kwa muda namshukuru mungu nilielekezwa kwa mzee mwenye tiba aliyenisihi kuwa tatizo langu limechangiwa kiasi kikubwa na kupiga punyeto. Baada ya tiba yake sasa nimepona rasmi vijana acha punyeto kwa afya yetu ni hatari.
Pole
Lakini pia hongera kwa kupona.
Siyo kwamba tabia ni ngozi,ila ni kwamba
Nguvu ya kujua mabaya ina madhara mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom