MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

Kunga YouTube channel na AdSense n hatua ya kwanza lakini kupata pesa ile inayoitwa mkwanja in hatua nyingine

YouTube wana TOS nyingi kuamzia ubora WA video na content ya video husika

Unaweza kuwa na video 100 lakin suitable for ads n 10 tu.

Pili copy videos aisee hapo utakuwa unapoteza muda wako kwani utapewa banning ya maisha

NB. Kama utaka kucopy plz usicopy video za wanamuziki.

Ili channel yao iweze kutrend fast hakikisha unatunia metadata vizuri( title, description na tags)

Kuanzia trh20 February ili uwe eligible na monetizations ni lazma uwe na subscribers 1000 na watching hours 4000.
Na siotena 10000 views
 
ngoja nianze biashara ya kuchukua cd za hizi season zilizo tafsiliwa nazi bana kwenye computer naamishia kwenye smartphone yangu nafungua account YouTube napiga hela maana wabongo kwahizi season wanapenda kinominomi kwa masaa ma 5 nachukua views wangu 1000 mkwanja ninao wakutoshaa sina shida ya maisha cd ya buku naingiza 1,0000 sinashida dadeki walai
 
Unaweza ukachukua CD ya buku na ukabani ukaupload video na pua usipate hata shilling moja YouTube wanatumia algorithm moja hatari sana

Ni vzr uwe na content zako mwenyewe
 
Hapo unakuwa ushavunja mwiko wa ku copy kazi za wasanii. Ingekuwa hivyo si ungeona kila raia anapost hio kwenye channel yake, wabongo wanavyopenda vitu easy!
ngoja nianze biashara ya kuchukua cd za hizi season zilizo tafsiliwa nazi bana kwenye computer naamishia kwenye smartphone yangu nafungua account YouTube napiga hela maana wabongo kwahizi season wanapenda kinominomi kwa masaa ma 5 nachukua views wangu 1000 mkwanja ninao wakutoshaa sina shida ya maisha cd ya buku naingiza 1,0000 sinashida dadeki walai
 
Wakuu
Salaam;

Naomba kuelimishwa,kwa mfano ukiwa na channel ya YouTube na unao watazamaji wengi wanaofikia milioni kwa siku 2,unapataje fedha!? Na utaratibu wa kuwa na channel ya YouTube ukoje!??

Ntashukuru km ntapata msaada huo,ahsanteni!!
 
Back
Top Bottom