Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Kwenye oil napenda tufahamishane ni oil zipi,sio kila oil unatakiwa uweke ya bp au castrol,wengine tunatumia total
 
Kwanza oil nyingi za engine za brand ya bp,castrol na total zinachakachuliwa, tahadhari penda kununua kwa recomended dealers
 

Forester X20, 2002-2004 Mimi ninayo KM 5 kwa lita, taa kubwa ya mbele 600,000 shock up si chini ya laki 550,000
 

Thanks
 
Ongea kitu kwa evidence dont just talk Nissan yoyote ile spea zake ni ghali na ni kwasababu ukishafunga unasahau thats one two hivi kuna gari ambayo haitasumbua? U will never get one kwani as it goes old itazingua tu, cha msingi ni utunzaji,binafsi ninatumia hiyo extra ila na iko sawa sana ni mwaka wa Pili sasa,by the time nanunua kuna jamaa alikua na yake kwa wakati huo ilikua na miaka mitatu na hana plan ya kuliuza wala kununua gari nyengine,kwahiyo msitoe shuhuda za uongo hapa,wacha mtu afate anachotaka,
 
wadau nataka kununua Pajero ios, naomba wenye uzoefu na hii gari wanipe mazuri na mapungufu yake kwani mimi kwanye tasinia hii ya magari ni mtupu kabisa
 
wadau nataka kununua Pajero ios, naomba wenye uzoefu na hii gari wanipe mazuri na mapungufu yake kwani mimi kwanye tasinia hii ya magari ni mtupu kabisa

Pajero sio gari ya kununua ni full kimeo, labda ung'oe injini uweke ya toyota
 
Forester X20, 2002-2004 Mimi ninayo KM 5 kwa lita, taa kubwa ya mbele 600,000 shock up si chini ya laki 550,000

Sasa kweli ulitaka bei ya spear za subaru zinanane na its au noah?

5km kwa lita hiyo kimeo badilisha plug na oxygen sensor,epuka mafundi wa vijiweni,Spear acha kutuma nenda mwenyewe ili wasikudalalie

Arusha shock up laki 2-3,taa laki 2-3,ukishindwa agiza Nairobi
 
Nime fatilia mada kuhusu u bovu wa nissan xtrail, ukweli ni kwangu nissan xtrail syo mbovu.
Nissan extrail ni service kufanya inayotakiwa ya extrail..na nissan ni vitu vitatu kuzingatia engen oil, hydronic gear box oil zote hizo uweke za nissan, na kuna mafuta ambayo yanapaswa kuweka kutokana na aina ya engen ya gari yako mfano labda mafuta ya kawa aina triple j au l etc.
Inategemea wewe uko katika kundi gani la mafuta yanayotakiwa kuweka.
Oil ya nissan extrail ya hydronic ni 250,000/ mpaka 200,000/
Engen oil nayo sh 70000/
Hiyo garama tu sasa sisi watz wengi tushazoea virahisi rahisi alafu badaye tunaanza lalamika...tunataka miliki vitu alafu kuviendesha hatuwezi.
 
Kingine cha kuzingatia Ktk nissan extrail
Ni lazima Rejeta iwe na maji nissan extrail engen haitakiwi kabisa ku over heat.
Asubuhi kabla hajaingia ndani ya gari check maji
 
Yapi ni magari bora? unanunua used car do you think it gonna be as good as new ones?
do you have really nissani secialist in your local area?
which school did he/she attended?
mie nakumbuka miaka ya 90 kuna mzee wa benzi alikuwa kariakoo na tata alikuwa kwa sokota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…