Haswaa. Yaani huo ndio ugomvi mkubwa kwa nissan. Hapa nipo Chalinze natoka Mutukula. Nimeinunua mwaka 2011 lkn sijapata tatizo lolote. pia ni muhimu kuwa makini na mfuniko wa radiator.
Nilikuwa mbioni kuagiza Xtrail mwezi December.. Ila naona michango mingi ipo negative kuhusu aina hii ya gari...naombeni ushauri ni gari gani nzuri ya juu ...sitaki hizi ndogondogo
Kiukweli X-Trail ni bomu la ardhini inazingua sana kuanzia sensor, spare zake ghali na injini kwa ujuma, ukitaka afadhali labda ufunge injini ya RAV 4
Mkuu mimi natumia hii Nissan mwaka wa 6 sasa ni Gari nzuri ukiwa unaitunza.
Mkuu hiyo 1M ni bima kubwa sana kwa Xtrail. . . . .Haifiki huko wala sidhani hata kama inafika nusu yake
Oil ya ex- trail ndo ipi mkuu? BP, Oryx au ya kampuni gani?
Nilikuwa mbioni kuagiza Xtrail mwezi December.. Ila naona michango mingi ipo negative kuhusu aina hii ya gari...naombeni ushauri ni gari gani nzuri ya juu ...sitaki hizi ndogondogo
Inawezekana. Kama mtu kazi yake ni Dereva ameendesha gari inawezekana shekhe wanguWewe Ni Muongo! Mbongo umetumia gari zaidi ya miaka 20 acha fiksi hizo!
Yaan uko kama mimi, kuna jamaa aliniuzia escudo ilinitesa sana mpaka nilikonda... Nikaja kuiuza bei ya kutupa!!ama kweli sitakaa kamwe kununua gari kwa mtu, ngozi nyeusi tuna laana yani unamuuzi rafiki yako kimeo
Hawa sasa ndo huwa wananiogopesha kununua gari mikononi mwa mtu.Mimi niliagiza hilo gari miaka ya 2010 ila lilinitesa sana akaja jamaa kutoka Iringa nikambambika nalo baada ya kukaa nalo mwaka tu na kuona kiama chake

Tatizo ni hela tu; ungenunua mpya yenye guarantee si ungerudisha dukani.Yaan uko kama mimi, kuna jamaa aliniuzia escudo ilinitesa sana mpaka nilikonda... Nikaja kuiuza bei ya kutupa!!
Nikitaka gari nitaagiza nje tu, siyo kununua kwa mtu!!
Ni kweli ngoja nizitafute tu.. Lakini kununua kwa mtu sitafanya hilo kosa tena!!Tatizo ni hela tu; ungenunua mpya yenye guarantee si ungerudisha dukani.
kwa hukunArusa naona kama zina soko kidogoNissan ni ndoa ya kikristo