Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Spea zipo kibao, Nenda Ilala machinga comlex - duka linaitwa Zizu ni la mzee mmoja wa kiarabu anuwalaza kama zidane. Duka jingine lipo mtaa wa Msimbazi kama umetokea kitou cha bakhresa naelekea klabu ya simba au msimbazi poloce, duka lipo karibu na Bank ya Diamond Trust upande wa kulia. Duka linaitwa kwa Nyange -zipo kila aina ya spea za subaru pale sema tu ni bei kidogo lakini ukifunga ni mkataba. sio kama za toyota.
 
Haswaa. Yaani huo ndio ugomvi mkubwa kwa nissan. Hapa nipo Chalinze natoka Mutukula. Nimeinunua mwaka 2011 lkn sijapata tatizo lolote. pia ni muhimu kuwa makini na mfuniko wa radiator.

hahahah sasa mkuu unakuta kuna watu wanaendeshaga tu gari mwezi mzima hajawahi chungulia maji wala kukagua engine hata kupima oil.yy akiingia kwenye gari ni gia mpaka ofisini sema kinacho wasaidia huwa ni visafari vya hapa hapa ndani ya jiji sasa akisema atoke nje ya mji aende bagamoyo au kibaha lazima arudi na basi au gari imefia njiani inavutwa au kaiterekeza huko huko gereji.
 
Nilikuwa mbioni kuagiza Xtrail mwezi December.. Ila naona michango mingi ipo negative kuhusu aina hii ya gari...naombeni ushauri ni gari gani nzuri ya juu ...sitaki hizi ndogondogo
 
Nilikuwa mbioni kuagiza Xtrail mwezi December.. Ila naona michango mingi ipo negative kuhusu aina hii ya gari...naombeni ushauri ni gari gani nzuri ya juu ...sitaki hizi ndogondogo

Chukua suzuki escudo toleo la 2005-2010 nzuri sana ingawa kabei kake ni m28-40 haifanani na xtrail
 
Kiukweli X-Trail ni bomu la ardhini inazingua sana kuanzia sensor, spare zake ghali na injini kwa ujuma, ukitaka afadhali labda ufunge injini ya RAV 4
 
Mimi Nissan ni gari yangu ya tano kuwa nayo. Ukiona mtu anaiponda sana gari ujue hajawahi kuwa nayo kabisa. Lakini ni gari nzuri sana. Tangu 2013 nimekuwa nayo na haiawahi kunisumbua hata kidogo. Hii ni gari ya starehe iliyo ngumu ya saizi ya kati.
 
Mkuu mimi natumia hii Nissan mwaka wa 6 sasa ni Gari nzuri ukiwa unaitunza.

Asante mkuu.

Naomba niseme kua gari lolote ni matunzo,however nissan haihitaji counterfit spare parts.But tusi generalize issues..kwa mfano genuine oil filter ya xtrail ni 20,000 engine oil bp standard or premium average 55,000 per four litres..nadhani tunamiliki magari kutokana na vipato.kwa mantiki hiyo it is not rational kusema gari flani bovu au pasua kichwa kwa vile tu your income falls below the affordability line.jiulize wajapani hawajitambui hadi watoe magari ambayo ni hovyo as far as market forces are concerned?
Fact inabaki kua ownership na maintanance ya gari inacorrespond na kipato.
...Wambili havai moyaa....
 
Mkuu hiyo 1M ni bima kubwa sana kwa Xtrail. . . . .Haifiki huko wala sidhani hata kama inafika nusu yake

Ni kweli juzi.nimetoka jubilee ju renew yangu declared value 17m comprehensive insurance nimekata 595000 hii ni 3.5 percent ya 17m kabla ya hapo ilikua 3.0 percent kabla ya mabadiliko ya policy.
 
Nilikuwa mbioni kuagiza Xtrail mwezi December.. Ila naona michango mingi ipo negative kuhusu aina hii ya gari...naombeni ushauri ni gari gani nzuri ya juu ...sitaki hizi ndogondogo

land cruser V8,VX,TX nzuri sana
 
ama kweli sitakaa kamwe kununua gari kwa mtu, ngozi nyeusi tuna laana yani unamuuzi rafiki yako kimeo
Yaan uko kama mimi, kuna jamaa aliniuzia escudo ilinitesa sana mpaka nilikonda... Nikaja kuiuza bei ya kutupa!!

Nikitaka gari nitaagiza nje tu, siyo kununua kwa mtu!!
 
Yaan uko kama mimi, kuna jamaa aliniuzia escudo ilinitesa sana mpaka nilikonda... Nikaja kuiuza bei ya kutupa!!

Nikitaka gari nitaagiza nje tu, siyo kununua kwa mtu!!
Tatizo ni hela tu; ungenunua mpya yenye guarantee si ungerudisha dukani.
 
Back
Top Bottom