Thanks brother![emoji3][emoji3]quality aspect is something else ....
Let's keep an eye on the basic purposes of mobile phones...
Nimekusoma vema sana. Umenena vemaSababu za Brand za magari kama NISSAN, MITSUBISHI na Zinginezo kuonekana ni tatizo.
Utalamu wa mafundi wetu na kujua mahitaji ya magari husika upo chini. Haya magari hayataki mafundi ambao ukimpelekea gari anaanza kupiga ramli kujua tatizo linaanzia wapi...
Kwa reason hii ninlazima Toyota utazikuta nyingi garage, Toyota wana gari nyingi garage na Wana gati nyingi pia barabarani.Sisi watumiaji wa magari ya Nissan tunawashangaa mnavoyapayukia.Tunachokijua ni kwamba ile kauli mbiu ya Sizitaki mbichi hizi ndiyo inayofanya kazi kwa walio wengi.
Lakini ukitaka kujua ukweli kama ni mazuri au lah,nendeni mtembelee katika gereji nyingi na mfanye utafiti wa kuona ni gari za kampuni gani nyingi zinazoozeozeana humo gereji...
Agiza Xtrail chiefNitafurahi kama utaeleza ubovu wake kwani hata mimi niko mbioni kuliagiza
Okayusijaribu hiyo gari itakufilisi utauza hata kuku kabla hawajaanza kutaga ili utengeneze gari,shockup moja shs 600000 wakati ya rav4 ni 80000,ninayo imenishinda hata kuuza haiuziki mtu anakuja anasema labda nikupe3,000,000
Kuna gari ambayo hupaswi kuzingatia service?Kwanijuavyo Mimi
Nissan inahitaji uzingatie sana service
To my advice kutokana na uzoefu wangu kwenye sector ya magari nakushauri ukiweza badili gari..hizi gari si rafiki sana linapokuja suala la spare, durability na zina shida ya AC pamoja na gearbox baada ua mudaWakuu Gari (pichani)nimetokea kuipenda Nina 10,000USD nataka kuagiza mwenye uzoefu nayo tafadhali
Unamshauri achukue gari gani mbadala? Maana nami najichanga hapa nichukue ama Xtrail (nimeipendea Bei, SUV, na Cc) au Mazda TributeTo my advice kutokana na uzoefu wangu kwenye sector ya magari nakushauri ukiweza badili gari..hizi gari si rafiki sana linapokuja suala la spare, durability na zina shida ya AC pamoja na gearbox baada ua muda
Nimechek Bei zinapishana kidogo Sana. Bora ujipange uchukue Rav 4 badala ya ujinga wa X-trailToyota ndo mpango mzima jembe
Klugger ni mnyama chukua hutajutaUnamshauri achukue gari gani mbadala? Maana nami najichanga hapa nichukue ama Xtrail (nimeipendea Bei, SUV, na Cc) au Mazda Tribute
Bei ikoje mkuu??Klugger ni mnyama chukua hutajuta
Umetumia maneno mabaya kwenye reply yako mimi nimeshamiliki Nissan zifuatazoHuwa nashindwa kuelewa hasa hapa jamiiforum kuwa Nissan X trail ni mabovu lkn ikitembea barabaran haya Magari yapo mno sikuhizi na watu wananua daily...