Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

[emoji3][emoji3]quality aspect is something else ....
Let's keep an eye on the basic purposes of mobile phones...
Thanks brother!

Mara nyingi Mungu akiwa hajabariki hela unaweza kujikuta mtu una room moja unajisifia maisha yanaenda poa na kwamba unaokoa pesa, Hahahha! Ngoja chambichambi iingie-unaweza Hama usiku ghafla manake unaweza kuona changamoto za ghafla Ambazo hukuwahi kuziona.

Hela inapoishia siku zote na akili zetu huishia hapo hapo
 
Sababu za Brand za magari kama NISSAN, MITSUBISHI na Zinginezo kuonekana ni tatizo.

Utalamu wa mafundi wetu na kujua mahitaji ya magari husika upo chini. Haya magari hayataki mafundi ambao ukimpelekea gari anaanza kupiga ramli kujua tatizo linaanzia wapi...
Nimekusoma vema sana. Umenena vema
 
Sisi watumiaji wa magari ya Nissan tunawashangaa mnavoyapayukia.Tunachokijua ni kwamba ile kauli mbiu ya Sizitaki mbichi hizi ndiyo inayofanya kazi kwa walio wengi.

Lakini ukitaka kujua ukweli kama ni mazuri au lah,nendeni mtembelee katika gereji nyingi na mfanye utafiti wa kuona ni gari za kampuni gani nyingi zinazoozeozeana humo gereji...
Kwa reason hii ninlazima Toyota utazikuta nyingi garage, Toyota wana gari nyingi garage na Wana gati nyingi pia barabarani.

Sent
 
usijaribu hiyo gari itakufilisi utauza hata kuku kabla hawajaanza kutaga ili utengeneze gari,shockup moja shs 600000 wakati ya rav4 ni 80000,ninayo imenishinda hata kuuza haiuziki mtu anakuja anasema labda nikupe3,000,000
Okay
 
Wakuu Gari (pichani)nimetokea kuipenda Nina 10,000USD nataka kuagiza mwenye uzoefu nayo tafadhali
03 (1).jpg
 
Wakuu Gari (pichani)nimetokea kuipenda Nina 10,000USD nataka kuagiza mwenye uzoefu nayo tafadhali
To my advice kutokana na uzoefu wangu kwenye sector ya magari nakushauri ukiweza badili gari..hizi gari si rafiki sana linapokuja suala la spare, durability na zina shida ya AC pamoja na gearbox baada ua muda
 
To my advice kutokana na uzoefu wangu kwenye sector ya magari nakushauri ukiweza badili gari..hizi gari si rafiki sana linapokuja suala la spare, durability na zina shida ya AC pamoja na gearbox baada ua muda
Unamshauri achukue gari gani mbadala? Maana nami najichanga hapa nichukue ama Xtrail (nimeipendea Bei, SUV, na Cc) au Mazda Tribute
 
Huwa nashindwa kuelewa hasa hapa jamiiforum kuwa Nissan X trail ni mabovu lkn ikitembea barabaran haya Magari yapo mno sikuhizi na watu wananua daily.

Pia utakutana na namba A,B na C nyingi Tu sasa huwa najiuliza hawa wenzetu hapa mtandaoni mbona kazi Yao ni kuponda Tu au ni maneno ya kanga?

Nimegundua kuwa wengi wengi wetu bado tupo maisha ya Toyota na spare parts za bei ya karanga hiyo ndiyo shida ya wabongo wengi lkn kama unataka gari yenye akili haya Magari ya Nissan X trail ni babu-kubwa.

Ni uongo mtupu na maneno ya kusikia kuwa Nissan gari zao ni Vimeo huu ni uzushi Tu, TATIZO la wapondaji lipo Kwenye kugharamia ndiyo maana utaona wanaishia kuponda
 
Huwa nashindwa kuelewa hasa hapa jamiiforum kuwa Nissan X trail ni mabovu lkn ikitembea barabaran haya Magari yapo mno sikuhizi na watu wananua daily...
Umetumia maneno mabaya kwenye reply yako mimi nimeshamiliki Nissan zifuatazo

Nissan Serena engine zake zinaigiliana na Xtrail ugonjwa wake unafanana.

Nissan Bluebird sio mbaya.

Nissan Primera nilikuwa nayo ya Uk ..gari ngumu sana.

Nissan primera ndugu yangu anayo iko fit .

Nissan sunny ni vimeo.

Nissan patrol na safari ni mashine za kazi.

Hivyo nilipotoa maoni yangu kuhusu Xtrail nilitoa maoni ya haki
 
Back
Top Bottom