Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mtafute jamaa anaitwa magoti fundi magari Facebook atakusaidia,ni mtaalam wa wa hizo key programming na mambo mengine ya umeme kwenye magari ya kisasa.
 
Ndiyo mara yako ya kwanza kutumia huo mfumo? (Sorry for this question)

Wewe na huyo fundi wako mligundua mlango wa dereva hau'lock' remote ikiwa umbali gani?

Sio xtrail tu, gari nyingi zenye mfumo huo mlango wa dereva hau'lock' remote ikiwa karibu.

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Rushanju naomba ufunguke kwa kina unaposema uwe makini na mfumo wake wa upozaji
 
Nimekutana na watu wawili wameharibikiwa na Engine za magari hayo na wanasema tatixo lilisnzia kwenye mfumo wa upozaji. Mmoja alisema mfuniko ulikuwa haurudishi maji kwenye radiator na nyingine iliharibika thermostats.
 
Huko Japan Ina maana hawaendeshi Tena Xtrail kwa sababu Ni mbovu?
 
Xtrail ni chombo wazee...xtrail new model ya kuanzia 2007 kuendelea ,ukiweka hapo na harrier au kluger zote zinaonekana sawa ,ila in price wise xtrail ipo chini ,so xtrail ni mashine...talking by experience
 
Old model vp?
 
Attachments

  • BH553228_7be423.jpg
    27.7 KB · Views: 15
Xtrail ni chombo wazee...xtrail new model ya kuanzia 2007 kuendelea ,ukiweka hapo na harrier au kluger zote zinaonekana sawa ,ila in price wise xtrail ipo chini ,so xtrail ni mashine...talking by experience
Siajaelewa mdau. Je Ni bora kuliko Harrier na Kluger au ni inferior kuliko Kluger?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…