ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Mtafute jamaa anaitwa magoti fundi magari Facebook atakusaidia,ni mtaalam wa wa hizo key programming na mambo mengine ya umeme kwenye magari ya kisasa.Msaada na ushauri, nimefunga universal keyless entry system kwenye nissan xtrail lakini milango yote inafunga vizuri kwa remote kasoro wa dereva tu ina ukishafunga na funguo wakati wa kufungua unafungua vizuri tu na remote, fundi wa umeme ameangaika hadi amesalenda mwenyewe, kwahymwenye wazo lolote??