Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Msaada na ushauri, nimefunga universal keyless entry system kwenye nissan xtrail lakini milango yote inafunga vizuri kwa remote kasoro wa dereva tu ina ukishafunga na funguo wakati wa kufungua unafungua vizuri tu na remote, fundi wa umeme ameangaika hadi amesalenda mwenyewe, kwahymwenye wazo lolote??
Mtafute jamaa anaitwa magoti fundi magari Facebook atakusaidia,ni mtaalam wa wa hizo key programming na mambo mengine ya umeme kwenye magari ya kisasa.
 
Msaada na ushauri, nimefunga universal keyless entry system kwenye nissan xtrail lakini milango yote inafunga vizuri kwa remote kasoro wa dereva tu ina ukishafunga na funguo wakati wa kufungua unafungua vizuri tu na remote, fundi wa umeme ameangaika hadi amesalenda mwenyewe, kwahymwenye wazo lolote??
Ndiyo mara yako ya kwanza kutumia huo mfumo? (Sorry for this question)

Wewe na huyo fundi wako mligundua mlango wa dereva hau'lock' remote ikiwa umbali gani?

Sio xtrail tu, gari nyingi zenye mfumo huo mlango wa dereva hau'lock' remote ikiwa karibu.

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Ninayo NISSAN X-TRAIL tangu mwaka 2011 hadi leo iko barabarani. Nimebadikisha fan belt mara moja na ball joint mara mbili. Stabilizer link ndo mara nyingi. Lkn sijaona tatizo hiyo gari kabisa. Ni nzuri kwa masafa marefu. Uwe makini na mfumo wake wa upozaji.
Rushanju naomba ufunguke kwa kina unaposema uwe makini na mfumo wake wa upozaji
 
Nimekutana na watu wawili wameharibikiwa na Engine za magari hayo na wanasema tatixo lilisnzia kwenye mfumo wa upozaji. Mmoja alisema mfuniko ulikuwa haurudishi maji kwenye radiator na nyingine iliharibika thermostats.
 
Huko Japan Ina maana hawaendeshi Tena Xtrail kwa sababu Ni mbovu?
 
Xtrail ni chombo wazee...xtrail new model ya kuanzia 2007 kuendelea ,ukiweka hapo na harrier au kluger zote zinaonekana sawa ,ila in price wise xtrail ipo chini ,so xtrail ni mashine...talking by experience
 
Old model vp?
 
Attachments

  • BH553228_7be423.jpg
    BH553228_7be423.jpg
    27.7 KB · Views: 15
Xtrail ni chombo wazee...xtrail new model ya kuanzia 2007 kuendelea ,ukiweka hapo na harrier au kluger zote zinaonekana sawa ,ila in price wise xtrail ipo chini ,so xtrail ni mashine...talking by experience
Siajaelewa mdau. Je Ni bora kuliko Harrier na Kluger au ni inferior kuliko Kluger?
 
Back
Top Bottom