Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Durability????
Durability ni mmiliki tu..piga service kwa wakati (kwa mafundi wanaoeleweka) epuka kuazimana gari na masela... above all X-trail ndo SUV pekee ambayo hutapigwa Kodi zaidi ya 7m na TRA
 
ipi hio? kwan mim nimewahi kucomment humu? hio ndo comment yangu ya kwanza humu.. pia kila gari ina recommended gearbox oil yake.. ukitoa dip stick utaona jina la oil inayotakiwa
Unatupa shule sisi tunaonyemelea X-trail za of a ya mwisho wa mwaka kule SBT
 
Kuna gari isiyochemsha usipofuatilia matunzo? Acheni kutisha vijana wenye dream za kumiliki SUV but hela imepelea hivyo X-trail ndo kimbilio kwao
Mkuu sijatisha watu lakin ni ukwel usiopingika kuwa kuna vitu ukikosea tu xtrail inachemsha hapohapo ndo maana nikaomba kupata uzoefu
 
Gari hizi za kisasa ukikosea hata mafuta Lazima upate majibu (immediately) kwenye dashboard au zikuumbue safarini.
NB : nilisikia stori za kuondoa themostat kwenye Gari imported. Sijajua busara ya hilo
 
part kubwa ya injini ya extrail ni aluminium, na sio cast iron, sasa aluminium ikipata joto sana fasta inabend ndo maana ukiwa na xtrail inabidi uwe nayo makini mno na mfumo wake wa upoozaji yaani inabid uupatie ile kitu inataka
 
Usitutisheeee
 
95% ya engine za siku hizi ni aluminum
 
part kubwa ya injini ya extrail ni aluminium, na sio cast iron, sasa aluminium ikipata joto sana fasta inabend ndo maana ukiwa na xtrail inabidi uwe nayo makini mno na mfumo wake wa upoozaji yaani inabid uupatie ile kitu inataka
So zinaharibika zikiwa bongo huko Japan engine haipati "joto Sana"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…