Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Inategemea unatafuta nn kwenye Gari?Siajaelewa mdau. Je Ni bora kuliko Harrier na Kluger au ni inferior kuliko Kluger?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea unatafuta nn kwenye Gari?Siajaelewa mdau. Je Ni bora kuliko Harrier na Kluger au ni inferior kuliko Kluger?
X-trail speed ndo mwenyewe, wese ananusa (1990cc) kulinganisha Kluger, harrier 2490cc.Hivi kluger vs harrier vs Nissan x trial nani Bora zaidi kwa speed, good fuel consumption ,na durability?
Durability????X-trail speed ndo mwenyewe, wese ananusa (1990cc) kulinganisha Kluger, harrier 2490cc.
Durability ni mmiliki tu..piga service kwa wakati (kwa mafundi wanaoeleweka) epuka kuazimana gari na masela... above all X-trail ndo SUV pekee ambayo hutapigwa Kodi zaidi ya 7m na TRADurability????
Ayaah nimeshaweka ile ya kwanza mkuu umeniulia gari
Hahahahahahahaaaa!You don't have financial muscle to own and maintain Athlete. May be FEKON or SANLG brands.
HahahahahahaaaaAyaah nimeshaweka ile ya kwanza mkuu umeniulia gari
Asante Sana Mkuu
gearbox oil ya xtrail ni hii.. ukiweka tofauti na hii tegemea lako kuharibika mapema
View attachment 1632881
inauzwa 130k
View attachment 1632882
msisahau na coolant
View attachment 1632884
huwa nacheka sana kuona watu wanasema xtrail ni mabovu.. wacha sis wajanja tutumie hela ndogo kuyanunua na kufaidi maisha
kwa mtazamo wangu.. xtrail ni nzuri zaid ya harrier na kluger
Unatupa shule sisi tunaonyemelea X-trail za of a ya mwisho wa mwaka kule SBTipi hio? kwan mim nimewahi kucomment humu? hio ndo comment yangu ya kwanza humu.. pia kila gari ina recommended gearbox oil yake.. ukitoa dip stick utaona jina la oil inayotakiwa
mkuu ushawah pata shida ya nissan xtrail kuchemsha?gearbox oil ya xtrail ni hii.. ukiweka tofauti na hii tegemea lako kuharibika mapema
View attachment 1632881
inauzwa 130k
View attachment 1632882
msisahau na coolant
View attachment 1632884
huwa nacheka sana kuona watu wanasema xtrail ni mabovu.. wacha sis wajanja tutumie hela ndogo kuyanunua na kufaidi maisha
kwa mtazamo wangu.. xtrail ni nzuri zaid ya harrier na kluger
Kuna gari isiyochemsha usipofuatilia matunzo? Acheni kutisha vijana wenye dream za kumiliki SUV but hela imepelea hivyo X-trail ndo kimbilio kwaomkuu ushawah pata shida ya nissan xtrail kuchemsha
Mkuu sijatisha watu lakin ni ukwel usiopingika kuwa kuna vitu ukikosea tu xtrail inachemsha hapohapo ndo maana nikaomba kupata uzoefuKuna gari isiyochemsha usipofuatilia matunzo? Acheni kutisha vijana wenye dream za kumiliki SUV but hela imepelea hivyo X-trail ndo kimbilio kwao
Gari hizi za kisasa ukikosea hata mafuta Lazima upate majibu (immediately) kwenye dashboard au zikuumbue safarini.Mkuu sijatisha watu lakin ni ukwel usiopingika kuwa kuna vitu ukikosea tu xtrail inachemsha hapohapo ndo maana nikaomba kupata uzoefu
part kubwa ya injini ya extrail ni aluminium, na sio cast iron, sasa aluminium ikipata joto sana fasta inabend ndo maana ukiwa na xtrail inabidi uwe nayo makini mno na mfumo wake wa upoozaji yaani inabid uupatie ile kitu inatakaGari hizi za kisasa ukikosea hata mafuta Lazima upate majibu (immediately) kwenye dashboard au zikuumbue safarini.
NB : nilisikia stori za kuondoa themostat kwenye Gari imported. Sijajua busara ya hilo
Usitutisheeeepart kubwa ya injini ya extrail ni aluminium, na sio cast iron, sasa aluminium ikipata joto sana fasta inabend ndo maana ukiwa na xtrail inabidi uwe nayo makini mno na mfumo wake wa upoozaji yaani inabid uupatie ile kitu inataka
95% ya engine za siku hizi ni aluminumpart kubwa ya injini ya extrail ni aluminium, na sio cast iron, sasa aluminium ikipata joto sana fasta inabend ndo maana ukiwa na xtrail inabidi uwe nayo makini mno na mfumo wake wa upoozaji yaani inabid uupatie ile kitu inataka
So zinaharibika zikiwa bongo huko Japan engine haipati "joto Sana"?part kubwa ya injini ya extrail ni aluminium, na sio cast iron, sasa aluminium ikipata joto sana fasta inabend ndo maana ukiwa na xtrail inabidi uwe nayo makini mno na mfumo wake wa upoozaji yaani inabid uupatie ile kitu inataka