High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
- Thread starter
-
- #61
kuna work mate wangu, alipata nayo ajali, hapo ndipo nilijua kuwa xtrail siyo gari ni jini la kuleta umaskini. yaani taa moja kubwa 350,000 ndogo 150,000 kwa taa 4 ni 2,000,000. yaani jumla ya cost ilikuwa milion 7 na point.
Bora kujichanga ununue Toyota Rav4
Asante High Vampire kwa uzi mzuri.
Naomba nijue ubovu wa hz nissan x-trial.
Binafsi nazipenda coz naona ni gari yenye nafasi sana na je kwa ushauri wako kama nataka kuagiza nikiagiza Voxy au Noah ntakuwa nimecheza vema na opportunity cost (kwa ku forgone xtrial)
Asante.
Ni kweli, xtrail haziko reliable kabisa kama Toyota. Inaweza kukuharibikia ghafla ukashindwa kujua cha kufanya, na spea zake ni chache sababu nyingi haziingiliani na gari nyingine. Kimeo kingine ni Nissan Murano. Kama umeshafanya utafiti kidogo wa bei zake kwenye used, zimeshuka saana, sasa hivi ni affordable kwa watu wengi. Ila haziko reliable hasa kwa barabara zetu na mafundi wetu
...zina didindisha?
kuna work mate wangu, alipata nayo ajali, hapo ndipo nilijua kuwa xtrail siyo gari ni jini la kuleta umaskini. yaani taa moja kubwa 350,000 ndogo 150,000 kwa taa 4 ni 2,000,000. yaani jumla ya cost ilikuwa milion 7 na point.
Hapo kwenye Noah pako vizuri ila VOXY haipo kwenye ubora kama utapata Noah ya mwaka 1999 mpaka 2001
kuna work mate wangu, alipata nayo ajali, hapo ndipo nilijua kuwa xtrail siyo gari ni jini la kuleta umaskini. yaani taa moja kubwa 350,000 ndogo 150,000 kwa taa 4 ni 2,000,000. yaani jumla ya cost ilikuwa milion 7 na point.
Jamani hizi x-trial ni janga Kwa sie wenye pesa za kuungaunga siyo rafiki kabisa hizi gari na wanao bisha haijawatokea Mimi lilitaka kunisababishia umaskini ikabid niliweke bond Kwa mtu mpaka saiz nimelisahau na sina mpango wa kulichukua akitaka aliuze tu.
Oil inaitwa Nissan unapatikana master card msimbazi kariakoo. Ziko varieties kadhaa.Mkuuu rudi moja hiyo oil utaipata wapi na inaitwaje hii itasaidia kwa wale wanaotaka kununua na hata walionazo naomba uje tena utuambie
Naona watu siku hizi magari haya ya nissani extrail wananunua sana je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu
oil inaitwa Nissan unapatikana master card msimbazi kariakoo. Ziko varieties kadhaa.
Maisha haya bado we na rafiki yako mnakata third party???!!!
Noah is far better than voxy, nimemiliki zote I still like noah ila iwe less than mwaka 2002