jobbmoffat
Member
- Nov 13, 2013
- 56
- 29
Ndugu nissan xtrail haina shida hata kidogo...hii gari inahitaji kufuata masharti yake elekezi....hii gari inatumia oil ya nissan extrail tu...hivyo watu wengi wanapofanya service huwa wanatumia oil ambayo not recommended kwa xtrail...but mtu ukitumia oil yake utaifurahia sana hii gari....ni gari nzuri....ni gari ya safar..tatizo letu watanzania tunapenda kufanya maamuzi kwa kutumia maneno matupu ya watu.....changamoto ninayoiona kwa extrail ni bei ghari ya vipuli....but vipuli vyake ni imara na original na hudumu muda mrefu
Wewe kweli unaliua hili gari vizuri, halitaki service za kienyeji, Nimekaa na hili gari miaka mitano ukija utaliona ka jipya, Engine yake inakuwa controled na sensors mbali mbali ambazo unatakiwa kuzicheck pindi ukihisi tatizo kwenye engine ,,,ukibadirisha sensor unaendelea kudunda kwa performance ileile