Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Ndugu nissan xtrail haina shida hata kidogo...hii gari inahitaji kufuata masharti yake elekezi....hii gari inatumia oil ya nissan extrail tu...hivyo watu wengi wanapofanya service huwa wanatumia oil ambayo not recommended kwa xtrail...but mtu ukitumia oil yake utaifurahia sana hii gari....ni gari nzuri....ni gari ya safar..tatizo letu watanzania tunapenda kufanya maamuzi kwa kutumia maneno matupu ya watu.....changamoto ninayoiona kwa extrail ni bei ghari ya vipuli....but vipuli vyake ni imara na original na hudumu muda mrefu

Wewe kweli unaliua hili gari vizuri, halitaki service za kienyeji, Nimekaa na hili gari miaka mitano ukija utaliona ka jipya, Engine yake inakuwa controled na sensors mbali mbali ambazo unatakiwa kuzicheck pindi ukihisi tatizo kwenye engine ,,,ukibadirisha sensor unaendelea kudunda kwa performance ileile
 
Maisha haya bado we na rafiki yako mnakata third party???!!!

That is the point mkuu. Alikwepa bima premium haifiki 1m kuishia kulipa 7m. Ndio akili zetu wabongo.
Gari unanunua 15m huwezi kuwekea bima 1m. Hiyo akili au matope?
 
Wewe kweli unaliua hili gari vizuri, halitaki service za kienyeji, Nimekaa na hili gari miaka mitano ukija utaliona ka jipya, Engine yake inakuwa controled na sensors mbali mbali ambazo unatakiwa kuzicheck pindi ukihisi tatizo kwenye engine ,,,ukibadirisha sensor unaendelea kudunda kwa performance ileile

Gari yoyote ni matengenezo. Watu hata service ya kawaida ni shida. Oil inawekwa ya kupima mitaani.
 
That is the point mkuu. Alikwepa bima premium haifiki 1m kuishia kulipa 7m. Ndio akili zetu wabongo.
Gari unanunua 15m huwezi kuwekea bima 1m. Hiyo akili au matope?
Mkuu hiyo 1M ni bima kubwa sana kwa Xtrail. . . . .Haifiki huko wala sidhani hata kama inafika nusu yake
 
Kama una hela nunua tu ukiambiwa uagize nairobi unatoa tu ila kama hela za mawenge nunua kampuni ya toyota

Wewe kweli unaliua hili gari vizuri, halitaki service za kienyeji, Nimekaa na hili gari miaka mitano ukija utaliona ka jipya, Engine yake inakuwa controled na sensors mbali mbali ambazo unatakiwa kuzicheck pindi ukihisi tatizo kwenye engine ,,,ukibadirisha sensor unaendelea kudunda kwa performance ileile

kweli kila kitu pale ni sensor.na mi nadhan hatuna mafundi .kuna sensor ya kwenye air cleaner inaitwa air mas hii ikifa gar huwa inazima mara kwa mara,kuna sensor ya kwenye padel ya mafuta nayenyewe huwa inazingua.ikizingua hiyo ukikanyaga mafuta gari hairesi.sasa ukikutana na wale mafundi wetu utaipenda lazima ingine ifunguliwe hapo
 
Kwenye stiki ya engine oil na ya gearbox oil zimeandikwa aina ya oil inayotakiwa kuwekwa. Kwa mfano, Xtrail gearbox inayotumika kwenye engine QR20 inatumia NISSAN MATIC FLUID - J
 
Mastercard wako vizuri kwenye parts za Nissan, uwezo wako tu.
 
Jirani yangu anayo aliinunua kwa mbwembwe sahiv imelala juu ya mawe zaidi ya mwaka mafundi wanafungua engine kila kukicha ikitembea ni siku moja inalala tena jamaa anatembea kwa miguu tu sasa na aliiagiza mwenyewe from Japan
 
Noah is far better than voxy, nimemiliki zote I still like noah ila iwe less than mwaka 2002

ni kweli NOAH ipo poa na wanashauri kwa upande wa maji usiweke maji ya bombani weka Coolant water haitasumbua kabisa
 
High Vampire

Vipi toyota harrier mkuu

Most Toyotas are very reliable even in harsh conditions. Harrier spares zipo, ingawa ni ghali kidogo. Ila ni gari ngumu. In short, Harrier is basically a Lexus RX, na Lexus ni moja kati ya gari reliable saana. Ila spare bado ni expensive na fuel consumption yake sio nzuri kivile kwenye v6 engine options
 
Ukiona una hela ya mawazo nenda kwenye vitz au starlet ukipata ugonjwa wa moyo umejitakia
 
Kwa ujumla gari isiyo manual ni tatizo. Ni kweli vipuli vya Nissan ni vya ghari sana but kama ni manual utaendesha hadi uchoke. Mimi ninayo double cabin ( Nissan YD) tena ya under licence kutoka SA , huu ni mwaka wa Tatu haijawahi haribika hata kidogo.

Ni kweli. Gari nyingi manual hazina shida saana, personally sijui kwa nini. Tatizo kwenye used cars manuals ni chache saana, na ziko expensive.
 
Tatizo letu wabongo hivi vitu mara nyingi tunafanya kwa fasheni tu ili mradi nawe wewe uonekane Nissan yoyote ile upande wa injini ipo safi sana endapo tu utafuata masharti elekezi ingawa nina uhakika kwa upande wa vipuli hapa ndo hutakiwa kuwa na hela za mawazo ni sawa na mmiliki wa boxer na t better
 
Nissan xtrail: 2.0 litre engine, DUAL OVERHEAD CAMSHAFT, VVTi, SPACIOUS, SELECTABLE FOUR WHEEL DRIVE, GOOD FUEL ECONOMY, NI MBADALA MKUBWA WA TOYOTA PRADO. HUWEZI KUILINGANISHA NA HARRIER , RAV 4 , HONDA CRV ,AU KLUGER.
 
Duuh, namshukuru aliye anzisha huu uzi,, nilikuwa nmejipanga wiki ijayo naenda kununua hii gari hakika nimeghairi kimoja.

Kitu kikishatiliwa mashaka wewe ukajitumbukiza baadae ya kikuta unabakia na ninge,, ninge,, nyingi sipendi, afadhali kuepuka mapema. Kiukweli muundo wake ulikuwa unanivutia sana ila gari ya kunifanya maskini hapana,, tupilia mbali huko...
 
Back
Top Bottom