High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
- Thread starter
-
- #101
Duuh, namshukuru aliye anzisha huu uzi,, nilikuwa nmejipanga wiki ijayo naenda kununua hii gari hakika nimeghairi kimoja.
Kitu kikishatiliwa mashaka wewe ukajitumbukiza baadae ya kikuta unabakia na ninge,, ninge,, nyingi sipendi, afadhali kuepuka mapema. Kiukweli muundo wake ulikuwa unanivutia sana ila gari ya kunifanya maskini hapana,, tupilia mbali huko...
Unaweza kutupa sababu za msingi??
JodeoUsipeleke gari service vichochoroni,,,peleka kwa dealers ambao wamekuwa authorised na Nissan kwan ndo wanayajua magari vema. Ukipeleka kichochoroni unapigwa oil fake unaendesha wiki mbili then autoparts zina kuwa useless. Tuache janja janja ya kukwepa gharama.
Jodeo
Kwa hiyo unashauri watu wanunue ila wawe makini kwenye service pamoja na utunzaji wa hali ya juu?
mkuu nissan hawataki magumashi kabisa na kama wabongo tungekuwa niwafuatiliaji kwenye utumiaji wa magari na kuyahudumia ipasavyo hakika yangekuwa yanadum sana tuu.
na hasa hawa nissan kwa kuwa hawana fake spea kabisaa.zinadum sana gari zikihudumiwa vizuri sasa mtu unakuta anafanya servirce anaweka oil ya kupima hydrolic ya elfu 5 kwa lita 1.why magari yasiharibike??
oil filter elfu 3500 hahahahaha.
kitunze kikutunze na kidumu.
Uwongo huu nimeshuhudia jamaa yangu amekaa nayo kwa miaka mitano na kitu alichokuwa akibadilisha ni tairi tu
Extrail Vs Oppa??
Mtoa mada we unatumia gari gani labda mimi nina ilo nissani nimenunua mwaka 2012 mwez wa tano mpaka apa napozungumza ni mwendo wakumwaga oil tu sijawah gusa kitu chochote na nazurula naloo kinyama mikoani ubovu wake nini na nataka .