Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

hakuna gari lisilo na matatizo

magari mengine uwe na hela.....spear genuine za toyota ni ghali kuliko za nissan! ila mnaishi kwa spea feki
 
katika gari vimeo basi ni toyota....
hila hizi zilizojaa bongo ni basi tu umasikini eti mtu anamiliki vitz, ist, platz, alaf anakalazimisha december aende nako mwanza kutoka dar alaf kakimfia analalama

Duh mkuu mbona una madongo sana? So hizi vitz mwisho Kimara?
 
Kupatana.com zinasukumwa kwa 7mil tu nilikuwa sijui ni kwa nini kumbe zina kasoro sana hizi gari .
 
Xtrail ni matatizo matupu hazichekani na ISUZU BIGHORN SUV
 
Wakuu naombeni ushauri kwa hii gari VOLTZ ikoje maana naipenda kwangu ni mbadala ya nissan murano.
 
Hivi NISSAN tumeanza kuzijua leo jamani,au ndio haya majina yake ya Ziada ndio yanatuahadaa.
Nissan kama una pesa ya mawazo ni gari shida sana,labda utumie mwaka na umtafute wa kumuuzia nusu bei.Na ndio maana wanabadisha miundo kibao.

Na kampuni hii inachofanya ni kuingia mikataba na Serikali za nchi Mbalimbali ili kuuzia Magari hayo katika idara zake mbali mbali,ndio maana watu tunayaona mengi na wengine wananunua kwa kuangali housing.

Hembu kumbukeni wale mliofanya kazi Bima miaka ya 90s,HYUNDAI walikuja na mikopo nafuu sana kukopesha magari hayo kwenye Taasis ya NIC na nyinginezo,kuna walioingia mkenge na wajanja walioulizwa hawakuchukua Mkopo huo.

Mkuu sijakuelewa vizuri. Umeanza kuelezea Nissan, lakini hitimisho lako kuhusu ubovu ni Hyundai!
 
katika gari vimeo basi toyota, nissani patrol mie ninayo nilinunua tabora mwaka 2000 lakini mpaka leo hii inadunda tu na ukiiona ni kama mpya....tatizo watu wengi mnalialia coz nissani haitaki spea feki, sijui unaambiwa filter 40,000 wewe unasema unataka ya 7,000 hapo nissani lazima ikushinde tu.........kwa mjapani gari ya maana ni nissani, toyota landcruiser, honda basiii, zaidi ya hapo nenda tu kwa mjerumani, muingereza na mmarekani ndio wanaojua kutengeneza gari......hila hizi zilizojaa bongo ni basi tu umasikini eti mtu anamiliki vitz, ist, platz, alaf anakalazimisha december aende nako mwanza kutoka dar alaf kakimfia analalama

Gari yo yote muhimu ni matunzo.

Mimi niliwahi nunua Nissan pickup, wakati huo watu wana kasumba ya Toyota Hilux...eti ni ngumu!

Nilikaa nayo bila matatizo yo yote hadi mwenyewe nilipoamua kuiuza.
 
Mimi naipenda sana VW Bora kwa yeyote aliyewahi kuitumia atufahamishe

ina-share almost kila kitu na golf!! basically its a golf,gari ya kijerumani cheap to maintain kwa hapa bongo. haisumbui spare parts kibao!
 
Mkuuu rudi moja hiyo oil utaipata wapi na inaitwaje hii itasaidia kwa wale wanaotaka kununua na hata walionazo naomba uje tena utuambie

Mkuu, naomba niongeze hapo. Ukitaka kupata oil ya nissan xtrail utaipata pale duka la Mastercard kariakoo. Nissan xtrail inatumia ATF aina ya Matic-J au S, ukiweka ATF nyingne tu unaua gear box na engine oil yake ni Nissan Oil , hizo ni special. Mara ya mwisho nilinunua ATF tsh45k per litre. Lakini hizo gari zipo poa sana, very comfortable kwa safar ndefu. Kwa sasa spear zipo nying sna na ni original.
 
Narudia Xtrail haifai kama una hela za mawazo bora kujichanga uje ununue rav4 au escudo
 
Ndugu nissan xtrail haina shida hata kidogo...hii gari inahitaji kufuata masharti yake elekezi....hii gari inatumia oil ya nissan extrail tu...hivyo watu wengi wanapofanya service huwa wanatumia oil ambayo not recommended kwa xtrail...but mtu ukitumia oil yake utaifurahia sana hii gari....ni gari nzuri....ni gari ya safar..tatizo letu watanzania tunapenda kufanya maamuzi kwa kutumia maneno matupu ya watu.....changamoto ninayoiona kwa extrail ni bei ghari ya vipuli....but vipuli vyake ni imara na original na hudumu muda mrefu
Umenipa nguvu mkuu maana nmeiagizia
 
Gharama za kuhudumia X-Trail against what, against gari gani???

Okay, bush za X-Trail laki mbili, lakini huwezi ku compare X-Trail against GX 100. Nipe comparable car against X-Trail, yani cross over SUV, sio sedan kama GX 100, ndio tulinganishe gharama za vipuri. Kuna wengine hawataki kuendesha sedan kwenye mabarabara mabovu ya kibongo haya, lazima kuna trade off ya gharama hapo.

Another thing about engine oil unayozungumzia, sio lazima utumie engine oil aliyosema manufacturer. Ukinunua simu ya Samsung watakwambia utumie charger ya Samsung, lakini ukitumia charger ya Apple au ya LG yenye specs zile zile hakuna tofauti, manufacturers wanataka kuuza accessories and parts, hawawezi kukwambia weka generic oil.

Nimeendesha magari ya Kijerumani, among the most delicate kuliko hilo X-Trail. Ukienda nchi za watu kwenye garage ambazo kazi yao ni kubadili engine oil peke yake, ukienda pale na li benzi au AUDI au BMW au sijui dubuasha gani la kifahari unakuta wana oil brand moja au mbili garage nzima, hawana oil ya Volvo, na X - Trail na Murano, na Benzi na VW na Audi, hell no! Wanakuwa na, mfano, Valvoline au Castrol. Hakuna siku wameniwekea kikopo kimeandikwa jina la gari. Na ukiuliza hiyo oil gani wanakwambia CASTROL na iko perfect kwa hili gari, na hawa ni professionals katika nchi ambazo waki eff up gari lako wanaweza kushtakiwa na wanaogopa na hawataki kuharibu jina la business yao, na hizi oil sio mwenye ki garage kaamua, hizi ni corporate franchises kubwa zinazopata instructions kutoka makao makuu ya garage, hawawezi kukuwekea oil famba. Wanajua the whole chemistry and ingredients za hiyo oil wanayoinadi Nissan na wana meet hizo specs za hao Nissan na labda kuzidi, kwa saab hata hao Nissan wenyewe hizo oil zao wanatengenezewa na hawa hawa specialists wa ma oil. Sio lazima uweke oil inayosema Nissan, just put the right oil!

Moja ya oil nzuri za X - Trail hii hapa.

EDGE%200W30%204L.png

mkuu natumia phone ningekugongea like kama 800 hivi.

hivi kwa hali ya kawaida watu wanalinganisha nissan x trail na vits na passo?

nissan x trail ina magari yake ya kufananisha nayo sio vikopo tunavyomiliki wabongo
 
Kinachozungumzwa hapa ni gharama ya kuhudumia x trail kwa mfano unaishi maeneo ya kigonsera ,kakonko,chemba,tandahimba,nanyumbu hiyo oil ya x trail utaipata wapi alafu bush lake laki mbili ki ukweli x trail inagharama mno hilo gari haliihitaji hela ya mawazo hata fuel consumption yake iko juu ni zaidi ya gx 100 six cylinder

Hapo nakupinga mkuu, gx100 six cylinder kwamba inakula vizuri kuliko xtrail nooooo, gx100 inapiga zaidi.......xtrail inatoa mpaka km 10 kwa lita ukiwa safari, hila gx100 huwa haizidi 9
 
Back
Top Bottom