Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenipa nguvu mkuu maana nmeiagizia
Mkuu usidanganywe.Hivi NISSAN tumeanza kuzijua leo jamani,au ndio haya majina yake ya Ziada ndio yanatuahadaa.
Nissan kama una pesa ya mawazo ni gari shida sana,labda utumie mwaka na umtafute wa kumuuzia nusu bei.Na ndio maana wanabadisha miundo kibao.
Na kampuni hii inachofanya ni kuingia mikataba na Serikali za nchi Mbalimbali ili kuuzia Magari hayo katika idara zake mbali mbali,ndio maana watu tunayaona mengi na wengine wananunua kwa kuangali housing.
Hembu kumbukeni wale mliofanya kazi Bima miaka ya 90s,HYUNDAI walikuja na mikopo nafuu sana kukopesha magari hayo kwenye Taasis ya NIC na nyinginezo,kuna walioingia mkenge na wajanja walioulizwa hawakuchukua Mkopo huo.
Asante High Vampire kwa uzi mzuri.
Naomba nijue ubovu wa hz nissan x-trial.
Binafsi nazipenda coz naona ni gari yenye nafasi sana na je kwa ushauri wako kama nataka kuagiza nikiagiza Voxy au Noah ntakuwa nimecheza vema na opportunity cost (kwa ku forgone xtrial)
Asante.
Mkuu usidanganywe.
Mimi ntimeumia Nissan wa Zaidi ya miaka 20, hizi gari kwa comfort hata Toyota haingii.
Nimetumia toka pick up hadi Patrol na na hazina shida.
Msharti yakeni kutumia spares original, ni ngumu na zinadumu.
Patro yangu ya sasa likuwa petrol 4500cc inabuguia mafuta kama kisa cha mwarabu.
Niliamua kuweka engine ya Prado 3000cc, the vehicle iko comfortable na nafaidi matunda
Uzuri wake nini Manosa
Nimesoma huu Uzi naona kila mmoja anatoa story asieijua. Kwa taarifa yenu hakuna Gari nzuri kama Nissan xtrail. Nimekaa NATO five years, Nina ndugu zangu wanne hazijasumbua. Kuhusu AC zipo vzr sana kama gx 110 spear so ghali kama watu wanavyotaka kutuaminisha no za kawaida sana. Engine complete used 700 laki sijui kwa mini watu wanapotosha. Kwa safari nni Gari nzuri sana
Ulaji was Mafuta in mzuri ukilinganishana na SUV nyingine ambazo ni 4WD
Ukitaka detail ya kila spear na being uliza sio kukurupuka na kudanganya umma. Ukiwa na RAV4 kwa mwaka garana za service na Mafuta no kubwa kuliko Xtrail, ninao ushahidi kwa hili
Kuagiza extrail no cheap kuliko RAV4 lakini ushuru was Xtrail no mkubwa kuliko rav4 n.k
Hivi NISSAN tumeanza kuzijua leo jamani,au ndio haya majina yake ya Ziada ndio yanatuahadaa.
Nissan kama una pesa ya mawazo ni gari shida sana,labda utumie mwaka na umtafute wa kumuuzia nusu bei.Na ndio maana wanabadisha miundo kibao.
Na kampuni hii inachofanya ni kuingia mikataba na Serikali za nchi Mbalimbali ili kuuzia Magari hayo katika idara zake mbali mbali,ndio maana watu tunayaona mengi na wengine wananunua kwa kuangali housing.
Hembu kumbukeni wale mliofanya kazi Bima miaka ya 90s,HYUNDAI walikuja na mikopo nafuu sana kukopesha magari hayo kwenye Taasis ya NIC na nyinginezo,kuna walioingia mkenge na wajanja walioulizwa hawakuchukua Mkopo huo.
Passo, vitz, swift na duet ni ushuzi mtupu hazifai kusafiria safari ndefu
Mkuu usidanganywe.
Mimi ntimeumia Nissan wa Zaidi ya miaka 20, hizi gari kwa comfort hata Toyota haingii.
Nimetumia toka pick up hadi Patrol na na hazina shida.
Msharti yakeni kutumia spares original, ni ngumu na zinadumu.
Patro yangu ya sasa likuwa petrol 4500cc inabuguia mafuta kama kisa cha mwarabu.
Niliamua kuweka engine ya Prado 3000cc, the vehicle iko comfortable na nafaidi matunda
Kama una hela za mawazo gari nyingi sana hutaziweza. Nina watu wa karibu wanazitumia hizi gari na zina dunda hadi leo...
Ni kweli, xtrail haziko reliable kabisa kama Toyota. Inaweza kukuharibikia ghafla ukashindwa kujua cha kufanya, na spea zake ni chache sababu nyingi haziingiliani na gari nyingine. Kimeo kingine ni Nissan Murano. Kama umeshafanya utafiti kidogo wa bei zake kwenye used, zimeshuka saana, sasa hivi ni affordable kwa watu wengi. Ila haziko reliable hasa kwa barabara zetu na mafundi wetu