Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

hakuna gari lisilo na matatizo

magari mengine uwe na hela.....spear genuine za toyota ni ghali kuliko za nissan! ila mnaishi kwa spea feki
 
katika gari vimeo basi ni toyota....
hila hizi zilizojaa bongo ni basi tu umasikini eti mtu anamiliki vitz, ist, platz, alaf anakalazimisha december aende nako mwanza kutoka dar alaf kakimfia analalama

Duh mkuu mbona una madongo sana? So hizi vitz mwisho Kimara?
 
Hizo passo mwendo kidogo tu zinachemka kama bito/mgongo wa chura
 
Kupatana.com zinasukumwa kwa 7mil tu nilikuwa sijui ni kwa nini kumbe zina kasoro sana hizi gari .
 
Xtrail ni matatizo matupu hazichekani na ISUZU BIGHORN SUV
 
Wakuu naombeni ushauri kwa hii gari VOLTZ ikoje maana naipenda kwangu ni mbadala ya nissan murano.
 

Mkuu sijakuelewa vizuri. Umeanza kuelezea Nissan, lakini hitimisho lako kuhusu ubovu ni Hyundai!
 

Gari yo yote muhimu ni matunzo.

Mimi niliwahi nunua Nissan pickup, wakati huo watu wana kasumba ya Toyota Hilux...eti ni ngumu!

Nilikaa nayo bila matatizo yo yote hadi mwenyewe nilipoamua kuiuza.
 
Mimi naipenda sana VW Bora kwa yeyote aliyewahi kuitumia atufahamishe

ina-share almost kila kitu na golf!! basically its a golf,gari ya kijerumani cheap to maintain kwa hapa bongo. haisumbui spare parts kibao!
 
Mkuuu rudi moja hiyo oil utaipata wapi na inaitwaje hii itasaidia kwa wale wanaotaka kununua na hata walionazo naomba uje tena utuambie

Mkuu, naomba niongeze hapo. Ukitaka kupata oil ya nissan xtrail utaipata pale duka la Mastercard kariakoo. Nissan xtrail inatumia ATF aina ya Matic-J au S, ukiweka ATF nyingne tu unaua gear box na engine oil yake ni Nissan Oil , hizo ni special. Mara ya mwisho nilinunua ATF tsh45k per litre. Lakini hizo gari zipo poa sana, very comfortable kwa safar ndefu. Kwa sasa spear zipo nying sna na ni original.
 
Narudia Xtrail haifai kama una hela za mawazo bora kujichanga uje ununue rav4 au escudo
 
Umenipa nguvu mkuu maana nmeiagizia
 

mkuu natumia phone ningekugongea like kama 800 hivi.

hivi kwa hali ya kawaida watu wanalinganisha nissan x trail na vits na passo?

nissan x trail ina magari yake ya kufananisha nayo sio vikopo tunavyomiliki wabongo
 

Hapo nakupinga mkuu, gx100 six cylinder kwamba inakula vizuri kuliko xtrail nooooo, gx100 inapiga zaidi.......xtrail inatoa mpaka km 10 kwa lita ukiwa safari, hila gx100 huwa haizidi 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…