Yaani nikipata m/ke asiyependa miharusi nitafurahi!!!!!!!!
Michango ya harusi ni majanga, halafu wanadai utafikiri ni deni yaani ni kero.
Bandugu, nina washkaji wa4 nimeshatoa michango ya 100,000 each. Mbili zimevunjika in 2 years 2 zingine zina utata balaa sitegemei zi last hata 2 more years.
Kuanzia sasa nina propose bila warranty ya miaka 6 kuendelea sitoi laki au zaidi. michango ya 50 watupe warranty hata ya 3 years. Wasipotimiza waturudishie hela zetu!
This is getting out of control, nimechoka kupoteza hela yangu. Mshkaji nilitoa kilo 5 baada ya miezi 18 wameachana!! Kidogo nipigan ngumi!
kaka huo ni ubahili unajitafutia sababu, kwa nini unatabiri ndoa za wenzio kuvunjika unachangia uvunjifu huo au nini?? Mchango ni kitu kingine na ndoa ni kitu kingine. pale wewe unachangia sherehe huchangii tabia wala maisha yao, sherehe ikiisha kapesa kako kameisha tena unatoa vilaki mnaenda wawili na unywaji wako si huwa unamaliza kahela kote na kukopa zetu tusiokunywa???
tutaona ndoa yako kama itadumu
Bandugu, nina washkaji wa4 nimeshatoa michango ya 100,000 each. Mbili zimevunjika in 2 years 2 zingine zina utata balaa sitegemei zi last hata 2 more years.
Kuanzia sasa nina propose bila warranty ya miaka 6 kuendelea sitoi laki au zaidi. michango ya 50 watupe warranty hata ya 3 years. Wasipotimiza waturudishie hela zetu!
This is getting out of control, nimechoka kupoteza hela yangu. Mshkaji nilitoa kilo 5 baada ya miezi 18 wameachana!! Kidogo nipigan ngumi!
ni kweli kabisa watu na unafiki wao'Michango ya harusi imezidi jamani ila mtoto wa akikosa ada ya shule hakuna anaejali.
Michango ya harusi imezidi jamani ila mtoto wa akikosa ada ya shule hakuna anaejali.