Yaani nikipata m/ke asiyependa miharusi nitafurahi!!!!!!!!
Pamoja na mambo mengine, huwa namwomba Mungu anijalie msichana aliye huru na utumwa huu. Naamini nitampata tu! Miaka 27 ya uhai wangu, sijachangia harusi jumla ya 15,000. Hivyo, sipendi kuomba michango.