PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 863
- 149
Mkuu mimi huwa sitoi michango ya harusi kabisa, hakuna haja ya harusi kunigharimu ka faida kangu kadogo nakokapata kwenye vibodaboda vyangu.
Napata kadi za kuchangia
harusi karibu kila mwezi naletewa karibu kadi 3, @50,000
approximately =150 , 000 .
Haya majanga sana ,mshahara wangu 550,000 , which means 30% michango
harusi ,Ninaacha haya mambo ,mimi mwenyewe sitafanya hiyo mambo, yaani
kila weekend tupo busy kuchangisha harusi ,kama tunataka kutokomeza
umasikini na wakati tunatiana umasikini ,siwezi tena.Jamani kama huna
uwezo usisumbue watu bwana ,funga ndoa ya kawaida tuache mambo ya
kuiga