VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
utamaduni wako na nani????? au nini maana ya utamaduni????kadi ya mchango wa harusi sio invoice...u can contribute nothing or anything u like...ndo utamaduni wetu huo tuendelee nao tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utamaduni wako na nani????? au nini maana ya utamaduni????kadi ya mchango wa harusi sio invoice...u can contribute nothing or anything u like...ndo utamaduni wetu huo tuendelee nao tu
Sasa mtu mzima unaliazimishwa wakati hela ni yako? hapa tatizo sio mchango itatakua ni wewe mwenyewe!Issue ni kufanya kwamba hiki ni kitu cha lazima...... binadamu tunasaidiana kila siku na kwenye kila jambo... lakini sasa harusi imekuwa ina viingilio... na kiingilio ni michango... mimi kama pesa zipo siitaji kuombwa nitatoa kulingana na uwezo wangu [/SIZE]
ni hiari sio lazima
Hivi unajua maana ya neno hiari?????? ukichanga unapewa kadi.... usipochanga basi na kadi hupewi Je hiyo ni hiari???????
Sasa mtu mzima unaliazimishwa wakati hela ni yako? hapa tatizo sio mchango itatakua ni wewe mwenyewe!
Issue ni kufanya kwamba hiki ni kitu cha lazima...... binadamu tunasaidiana kila siku na kwenye kila jambo... lakini sasa harusi imekuwa ina viingilio... na kiingilio ni michango... mimi kama pesa zipo siitaji kuombwa nitatoa kulingana na uwezo wangu wala singoji kukumbushwa au kuombwa na mara nyingi culture zetu ni kupeleka zawadi siku ya siku....
sasa mimi kama ninaoa na rafiki zangu hawana pesa za michango je wasije kwenye harusi???? bali waje wale watu hata ambao siwajui kwa sababu wana pesa na wanawajua wazazi wangu???? Hivi mimi nikifanya harusi kwa uwezo wangu mdogo watu walaka kidogo je huko sio kusherekea...... ???
utamaduni wako na nani????? au nini maana ya utamaduni????
Sasa we unataka kwenda kula wenzako walivyochangia..Agrrrr!! Chako chako chetu chako?Kulazimishwa sio mpaka ushikiwe bunduki????? ukipewa conditions (ukichanga utapewa kadi.... usipochanga kadi hupewi..... na harusini huwezi kwenda)
Sasa we unataka kwenda kula wenzako walivyochangia..Agrrrr!! Chako chako chetu chako?
B_E hilo neno. Sio mtu anachanga alafu analalamika mi siwaelewi kabsaa!Baba_Enock huwa hachangii HARUSI - Bali huchangia Ada au gharama za matibabu!
Naomba kwanza kaangalia definition ya Utamaduni alafu rudi tuendelee kuongea.......Ni utamaduni wetu mimi na wewe
hahahaha namshangaa anavyosema analazimishwa! maana ukizoea kulazimishwa hii hatari sana!:A S-alert1:Mkuu huyu atakuwa na kadi nyingi kipindi hiki na mambo ya mwisho wa mwaka haya sasa anatafuta faraja...akiwa na hela anachanga na unakuwa sio utamaduni wa kipuuzi...akibanwa unageuka kuwa wa kipuuzi
Duh
Naomba kwanza kaangalia definition ya Utamaduni alafu rudi tuendelee kuongea.......
GY ishu za ma journals unaziweza? au tumuite Teamo?Naomba kwanza kaangalia definition ya Utamaduni alafu rudi tuendelee kuongea.......
Mimi huwa sichangi ila mimi ni mtu wa kushare na kusaidiana (jamaa yangu akipata sherehe uchangia) zawadi, au kufanikisha issue ile kama ni mtu wa karibu huwa ninamsaidia kwa kila niwezacho...... issue sasa ni kwamba hata mtu si jamaa wa karibu yangu sababu jamaa yangu wa karibu anamjua.. basi na mimi taletewa kadi (hizi kadi zenyewe unakuta zimecost 200,000/=) je jamani huu kama si ulimbukeni ni nini??? Mimi ningechanga kila harusi kama tungejuwa tunawachangia maharusi kununua nyumba au vitu vya kuanzia maisha
GY ishu za ma journals unaziweza? au tumuite Teamo?
Huu utamaduni si wa muhimu kabisa maana watu wanachangishana na wanahakikisha wamekula pesa zote ingekuwa afadhali katika michango yote iliyochangwa maharusi wanatengewa fungu lao hapo kama asilimia 20 hivi la kuanzia maisha.
Inabidi pia tuanze kuchangishana kutafuta ada za shule na si harusi
Mkuu huyu atakuwa na kadi nyingi kipindi hiki na mambo ya mwisho wa mwaka haya sasa anatafuta faraja...akiwa na hela anachanga na unakuwa sio utamaduni wa kipuuzi...akibanwa unageuka kuwa wa kipuuzi
Duh