CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Hivi ni sawa jamaa anataka kuoa hana hata sent mfukoni anategemea michango ya washkaji...?...Mi naona Harusi BOMBA ni ile jamaa anaandaa kila kitu anawaita washkaji kwenda kushuhudia,kumpongeza na kumpa zawadi....Au wana JF mnasemaje..?
Wazo zuri kabisa. Lakini waswahili hakuna atakayeleta zawadi! Jiandae kugharamia each and everything without anticipation of zawadi