Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

What facts?,facts my ass, I am not here to give you facts go and do your own research and come up with ur own facts
Mila na utamaduni wa kitanzania (ndoa ni inagharamikiwa na wanafamilia na maharusi......) That how its used to be thats has always been the majority of tanzania tribes (Am not sure about the Chagga....) so when you come with your facts about the issue started when people started to get married there is a need to recheck your facts......

(about you being here to give me facts)??????? You are not here to give me anything....... infact you can do the hell you want its your decision I dont even expect you....... This is an open forum you can either comment about something or leave it... YOU SAW THE HEADING OF THE TOPIC YOU DECIDED TO COMMENT ITS YOUR OWN DECISION.........
 
Habari kaka....... Hope you are fine..........

Undugu na kusaidiana sio utamaduni wa kiafrika tu bali ni ubinadamu na ustaarabu.... Takuwa mtu wa ajabu sana nikipinga kusaidiana sababu binadamu huwezi kuishi peke yako in a vacuum.... Issue ni kusaidiana.... (misiba; magonjwa na sherehe) tunamsaidia mtu ambaye anahitaji msaada....

sasa swali linakuja hizi Harusi za sasa Je ni kweli watu hawa wanahitaji msaada wa kuspend millions of cash for a one day occassion??? Cant it be done more cheaply within their own means..... Harusi sio jambo la ghafla ni jambo la kupanga.... so you can plan it reasonably kulingana na pato lako

Kuhusu huu utamaduni wa kupitisha kadi za michango kwa kila mtu not only your close relatives SIO UTAMADUNI WETU; THINGS DID NOT USED TO BE THIS WAY watu walikuwa wanajumuika pamoja na kutoa pongezi zao kama zawadi???
Dada VOR
Huwezi ukapanga harusi kulingana na pato lako . pato gani unaloongelea kwanza ? U re talking of theory and am tlking of practical

Ukisema Cheaply una maana gani ?Wht is expensive wedding cost to your standard. Mimi nimekulia kijijini mtualikuwa akitaka kuoa basi wanakijiji wanchanga msosi. Huu ni utamaduni wa waafrika.kujumuika kushare nakushirikianakwenye shida na raha.

U will need million of cash kufanyaharusi dar sabau za kukodi ukumbi, magari etc. U will need kiasi kidogo kufanya harusi kijijini. Ni mambo yanaendana na mazigira ya mtu binafsi.

Mimi kwangu mtu akitoa pesa zake mfukoni million 20 kufanya harusi ndio nitaona upumbavu lakini mtu anachangisha akapata milioni 30 kufanya harusi mwache afurahie life does not come twice dada.


Alfu huwezi ukapokea kadi ya mchango isiyo kuhusu kam a si mfanyakazi basi ni jirani au ni mate au umeletwa kadi na ndugu au rafiki yako akikuomba umchangie rafiki yake. Hivi ndivyo waafrika tulivyo.

wewe mwenyewe kwenye tiitle umesema ni utamaduni ila ulipoksea ni kuuta wa kupuuzi
 
Mila na utamaduni wa kitanzania (ndoa ni inagharamikiwa na wanafamilia na maharusi......) That how its used to be thats has always been the majority of tanzania tribes (Am not sure about the Chagga....) so when you come with your facts about the issue started when people started to get married there is a need to recheck your facts......

(about you being here to give me facts)??????? You are not here to give me anything....... infact you can do the hell you want its your decision I dont even expect you....... This is an open forum you can either comment about something or leave it... YOU SAW THE HEADING OF THE TOPIC YOU DECIDED TO COMMENT ITS YOUR OWN DECISION.........
I see you are more interested in facts yaani suala la michango kwenye harusi nalo unataka facts we jamaa bana kukusaidia nenda kahudhurie vikao vya harusi utapata hizo so called facts
 
am tlking of practical; Mimi kwangu mtu akitoa pesa zake mfukoni million 20 kufanya harusi ndio nitaona upumbavu lakini mtu anachangisha akapata milioni 30 kufanya harusi mwache afurahie life does not come twice dada.

Alfu huwezi ukapokea kadi ya mchango isiyo kuhusu kam a si mfanyakazi basi ni jirani au ni mate au umeletwa kadi na ndugu au rafiki yako akikuomba umchangie rafiki yake. Hivi ndivyo waafrika tulivyo.

wewe mwenyewe kwenye tiitle umesema ni utamaduni ila ulipoksea ni kuuta wa kupuuzi

First of all usiniite dada...... Dada..... look at the avatar am not a Dada........ Pili its all about priorities..... people did not I repeat did not use kutumia michango as a criteria ya kwamba ndio mtu anakuja harusini.... Michango ilikuwa ni kama zawadi... na hii sio harusi tu hata mtu akija kukutembelea; kuzaa mtoto n.k. (Now that is african Tradition)...... Whats happening now is not our tradition..... And who told you a wedding without kukodi ukumbi; magari n.k. is not a wedding; Pili mtu anapochangisha 30 million thats not an investment.... its a loan which he will be required to return..... Now why dont we go back to our old ways and stop this ridiculous spending
 
Duh sasa naona mnaenda kusiko. Tumwite afande mwema alete defenderla mabomu ya machozi
 
First of all usiniite dada...... Dada..... look at the avatar am not a Dada........ Pili its all about priorities..... people did not I repeat did not use kutumia michango as a criteria ya kwamba ndio mtu anakuja harusini.... Michango ilikuwa ni kama zawadi... na hii sio harusi tu hata mtu akija kukutembelea; kuzaa mtoto n.k. (Now that is african Tradition)...... Whats happening now is not our tradition..... And who told you a wedding without kukodi ukumbi; magari n.k. is not a wedding; Pili mtu anapochangisha 30 million thats not an investment.... its a loan which he will be required to return..... Now why dont we go back to our old ways and stop this ridiculous spending

Soory kwa kufanya systanx error ya kukuita sivyo.
ndio maana nakumbia inategemea na mazingira. mambo unayooongea wewe hayakwepeki kw a mazingira ya mjini. kuna limitation of space so how can u filter out nani ajumuike na nani asijumuike.
Vile Vile sio wote wanaochanga wanahudhuria na sio wote walihudhuria wanakuwa wamechanga.

Kijijini nilipokulia mm harusi iliku ni ya kijiji kwa mjini hakuna space hivyo kunahitajika control

Nakataa na sio kusema ni investment mtu akipokea mchango wa harusi basi ni lazima naye achangie wale wote walimchangia . Kuchanga au kutokuchanga au kuchangiwa ni Utashi

Sasa mtu akizaa mtoto kwa nn umchangie au uumpe zawadi. si anatakiwa ajipange kabla ya kzuaa . Je usipompa zawadi ni kosa? Mimi naona wewe una alegy na harusi.

Ukitaka old way kafanyie harusi kijijini na bado hata huko wanakijiji watachanga unaweza kuona walichochanga huko ni kidogo lakini kwa life ya kijijinni wanakuwa wamejitolea kiasi kikubwa iwe ni chakula, kufanya kazi, kuchota maji au kupika etc
 
Heri harusi au send-off.
Mtu bila aibu anakupa kadi ya Kipaimara na Graduation.
Nafikiria kutafuta dawa ya michango hii. ni tatizo kubwa sana kwetu watanzania.
Graduation au kipaimara utadhani harusi, kweli vivutio vya utalii tunavyo vingi sana.
wageni wanakuja kutazama hata tabia zetu za kupenda sherehe zisizo na mwelekeo.
 
Watu hawaendeshi Rolls Royce si kwa sababu hawajui zinauzwa wapi ila ni kwa sababu hawawezi kumudu bei.

Sasa iweje mtu mwenye uwezo wa kumudu sherehe ya harusi ya Tshs 2000,000.00 atake starehe ya sherehe ya Tshs10,000,000.00?

Utamaduni huu wa Kishenzi wa kuvamia shughuli za bei mbaya upo Tanzania tu, nchi nyingine duniani sherehe za bei mbaya ni za wenye pesa tu.

Kwa usawa wa Bei ya Mafuta ya Tanzania nashangaa kwa nini Mtu anunue Hammer-2
hapa Uesiei tu kwenyewe ambako galoni moja ya mafuta Lita 3.4 ni $3.5 wanayakimbia. Sasa huko Tanzania lita moja ni zaidi ya dola moja na nusu kuna majuha wa starehe na ulimbukeni wanyanunua?

Dawa ya mila hii ya kilimbukeni ni kuacha kutoa michango hii ya kipuuzi.

Eti nasikia hata shere ya kuzaliwa siku hizi wanataka michango??

Kama huna uwezo si unanunua pipi kijiti na puto moja tu sherehe kwisha??

watanzania tuna hulka ya kutambishiana sana na ndicho kinachotuponza sana...kuna harusi moja ya jamaa mmoja ambaye alikuwa maskini sana kabla, akajaliwa line moja ikakubali. Alivyooa last year, harusi aligharamia zaidi ya miioni hamsini wakati ndugu zake kijijini ni maskini sana na wanaishi kwenye tembe. Najiuliza hadi leo what 4 million 50 kuitumia one day?? ila hakuchangiwa na mtu.

Ulimbukeni si kitu kizuri na tusisahau tulikotoka.
 
Nimefurahi sana kwa sababu ya post hii. Kuna muda nilikuwa nina hofu kuwa msimamo huu ni wa kwangu peke yangu na watu wangenishangaa. Niseme tu kuwa hii ni moja ya posts nilizozifurahia tangu nijiunge JF. Naamini mwaka huu utaisha vizuri kwa sababu naona kuna watu ninaofanana nao mawazo.
 
Mi napingana na hoja hiyo. mi ndo kwanza nataka kufunga ndoa lakini kwa muda mrefu nimechangishwa weeee, na wakati mwingine nakuwa safari so mchango unapochelewa unaletewa A/C no as if it is a must kumpa hiyo hela. na mwingine ukimwambia sina anakuwa mkali ooh kama nimekupa kadi ni lazima unichangie, ....jamani hela yangu unakuwa na uhuru wa kuipangia matumizi? Ukimpa less kulingana na amount waliyojipangia anakuja juu. hela ni yangu si yako. siki hizi huwa nawapa 5-10 thousands nawambia kanunue vocha weka ktk simu ili ufuatilie michango yako kwani amount unayotaka sina. Nami nimepanga kufanya sherehe ndogo tu itakayohusisha zaidi wanafamilia na marafiki wachache. Fungu hilo dogo nimeliandaa. zawadi nitapokea.:teeth:
Jamani msilaumu tu unajua watu wanachangisha sababu nao walikuchangia ndio hivyo inavyoenda sasa wewe unalaumu coz ushamaliza shughuli yako sio
 
Inatia moyo kuona kuwa watu wengi wamefunguka macho na kuona hasara ya kuchangia harusi ambapo kwa 'mtazamo wangu' ni kuchangiamatumbo yetu yasiyokuwa na shukurani.

Hili swala la michango kwa upande wa kina dada ni zaidi, kwanza kuna mchango wa kitchen party, baada ya hapo ni mchango wa send-off/pre wedding party, halafu ikiwa bwana harusi mna uhusiano au rafiki itakuja machango wa harusi. Nakatika kila sherehe nilizotaja hapo juu utatakiwa kwenda na zawadi. sasa tufanye umetoa 'kima cha chini' ambacho kinawekwa na vikao vingi ambacho ni 50,000 , jumla ya mchango wako bila zawadi katika sherehe hizi tatu ni 150,000, hiyo ni kwa mtu mmoja tu. na kama wewe ni mtu unayejulikana basi kazi unayo. kwa uchumi wetu wa Tanzania, hizi ni anasa kwa kweli.

Wana JF naomba tuwe mfano tubadilike, pengine tuaweza kuibadilisha jamii inayotuzunguka
 
Kwa kweli hii michango ni ya kutufilisi tu jamani, unakuta kwa mwezi unaletewa kadi za michango hadi kumi na kila moja kima cha chini elfu 30, kweli tutafika kwa hali hii???
 
Hawa waoaji na wanaoolewa hata ukiwaambia huna hela wanaendelea kukusumbua.
Urafiki unageuka kuwa uadui, kipato changu chenyewe ni kidogo hakinitoshelezi, halafu jitu linatoka huko linaniambia nilichangie, as if na mimi ntakuwa nanufaika usiku na huyo mkewe.
Nimechoka na maombi yenu ya michango ya fedha kwa ajili ya harusi.
 
pole kiranja mkuu,mimi nimeshakuwa huru na michango ya harusi.sichangii mtu sasa imeshapita miezi 6 na marafiki zangu wameshanielewa.
huwa nawaambia kuwa mimi nitakuja na zawadi,na nitakuja kanisani. full stop. wakishakujua hawakusumbui tena.
kwani usipokuwa makini kila mwezi utachangia watu 4,na siku hizi minimum imshakuwa 50,000 so 4 X 50000= laki 2 down the drain.

usichange na ukiweza nenda ktk ndoa kanisani/bomani.
 
Sijaoa lakini michango inatesa jamani!! Unaweza ukajikuta unakimbia mjini kwa sababu ya michango. Najaribu sana kuikwepa lakini waifu mtarajiwa ananikaba koo nachangia! Lol,
 
Mimi huwa nachangia nikiweza, ninapokuwa sina siumizi kichwa changu.
 
jamani hii michango itatuua kweli.......kwani ni lazima kufanya sherehe kubwa ya harus
mi nadhani ss inabidi tubadilike hizi sherehe ziwe za kifamilia zaidi ili tupunguze cost zisizo
na msingi,
tunachanga mahela kibao halafu zote zinaishia kwenye pole na ulaji tu tena kwa usiku mmoja
 
Back
Top Bottom