Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
Ndugu zako wa karibu sana wanaweza kukusaidia jambo hilo, sioni ubaya.Huku makambako kuna kamchezo Ka bwana Harusi kutaka achangiwe mahari.Aisee,michango ii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zako wa karibu sana wanaweza kukusaidia jambo hilo, sioni ubaya.Huku makambako kuna kamchezo Ka bwana Harusi kutaka achangiwe mahari.Aisee,michango ii.
Hayo majibu nimetoa sana lakini watu bado wanang'ang'ania basi naishia kuwambia sawa.Katika dini ya kiislam ww unaingia kwenye kundi la wanafiki. Wanafiki wana sifa kuu tatu, mojawapo ni Akiahidi Hatimizi ahadi. Jiepushe na ahadi. Wambie watu kuwa nikipata fursa nitachangia kuliko kutoa ahadi.
Ni kweli wakati mwingine watu hawa wanakera maana wanatuma sms kama vile anakudai. Anakufuata hadi ofisini kwako kukumbushia. Mimi sasa hivi nimeamua mtu akija akinipa kadi naweza nikapokea nikaitia kwenye droo au nikiamua namwambia tu kuwa huwa sichangii harusi na sherehe nyingine. Kama ana mgonjwa akikwama anifuate nitakuwa tayari kumsapoti.Hayo majibu nimetoa sana lakini watu bado wanang'ang'ania basi naishia kuwambia sawa.
Habari ya leo wadau,
Hivi hii issue ya kuchangishana hela ili watu wafanye sherehe kuuuuuubwa ya harusi itaisha lini? Jamani zama zimebadilika hivyo yatupasa hata na sisi tubadilike pia, hali sasa hivi ni ngumu jamani si utani, mbaya zaidi unapangiwa kabisa kuwa kima cha chini ni kiasi flani cha fedha, tunatafutana ubaya ujue, ifike mahali furaha yako isiwaumize wengine.
............
Hapa sasahivi tayari nina kadi za mchango 8 mpaka wengine hata siwafahamu, sasa najiuliza nitamchangia yupi nitamuacha yupi.
Nawasilisha.

Kama issue ni kufunga ndoa wewe nenda kwa Mchungaji/Paroko mueleza azma yako ya kufunga ndoa hivyo andaa fungu lako kodisha mapaparazi/wapiga picha tafuta sehemu tulivu ambayo mtaenjoy na baadhi ya mashuhuda, maliza mchongo bila kuwapa watu stress, kwa kufanya hivyo utakuwa umeepusha ndoa yako na manung'uniko ya watu, maana kama mjuavyo binaadam hawariziki utasikia mara oooh! pamoja na kuchangishwa fedha nyingi sherehe yenyewe ilikuwa na mapungufu kibao.
Hapa sasahivi tayari nina kadi za mchango 8 mpaka wengine hata siwafahamu, sasa najiuliza nitamchangia yupi nitamuacha yupi.
Nawasilisha.
Mpendwa fanya fanya uoe aisee.. haiwezekani mtunza sadaka huja"wowa"Hao jamaa hata usipokuwa nchini, watatafuta namna tu wakutoe kiasi. Hawana aibu wala pride hata kidogo linapofika suala la kuzidai hizo. Mi ikifika zamu yangu, nta-demand from my old folks tu, wengine njooni na zawadi. Please return the favor.
Hahahaah hao wametisha aisee....Kweli kwa hali ya sasaivi kila kukicha mahitaji yanaongezeka na mishahara ipo pale pale,mimi nililetewa card ya harusi mchango laki5 au kuna list ya vitu uchague ukanunue ulete,fridge,cooker,kuweka mapazia,Sofa tena wamekwambia
ukisha chagua watakuelekeza wapi ukanunue,na hao watu hata wenyewe hawapikii gas wanapika na mkaa
nikasema wanatukomoa kila aliepewa card ya mchango wa hiyo harusi walisema mie ntakua nje ya nchi,wengine
sijui watakua makazini,nikasema ivi mtu unampa kiwango cha mchango atoe kwani ni harusi yake?
Teh!Habari ya leo wadau,
Hivi hii issue ya kuchangishana hela ili watu wafanye sherehe kuuuuuubwa ya harusi itaisha lini? Jamani zama zimebadilika hivyo yatupasa hata na sisi tubadilike pia, hali sasa hivi ni ngumu jamani si utani, mbaya zaidi unapangiwa kabisa kuwa kima cha chini ni kiasi flani cha fedha, tunatafutana ubaya ujue, ifike mahali furaha yako isiwaumize wengine.
.
Mkuu naona hicho kipengele kimekukosha sanaTeh!
Yep! Hapo kwenye red, inabidi wawe waungwana.Mkuu naona hicho kipengele kimekukosha sana
Chuki yako ni kwa pombe sio michango, hizo pombe ndo zinalipa kodi, ndio mcjango mkubwa kwa bajeti, na hayo masoda mnayokunywa kama maji ya sumu kiasi gani?
Haahahaa.....kwakweliYep! Hapo kwenye red, inabidi wawe waungwana.
Asante mlokole hewa.Pole sana mlevi
Mpendwa fanya fanya uoe aisee.. haiwezekani mtunza sadaka huja"wowa"