Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
This time ntaweka nyingi zaidi.. Utasahau mpaka password...lol
Nini tena hizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This time ntaweka nyingi zaidi.. Utasahau mpaka password...lol
Nini tena hizo?
mmmmmmhh.........???
Hivi hili ongezeko la michango ya harusi siku hizi linatokana na nini maana zamani hii mambo haikuwepo....yan mi naona kila nikipatacho kinaenda kwenye michango ya harusi na kila kukicha naletewa card...mi nishachoka sasa na kuwakatalia siwezi kwa kuwa mtu anakudai kama deni kabisa yan kila saa anapiga simu kukumbushia hadi inakuwa kero...
mmoja alikuja kwenye kamati eti hata hela ya gaun la bb arus hana...
alah sasa waoa nn hapo...
heh elfu ngapi?! Tano? Elfu 50.. Kama ni couple Laki moja na kuendelea!! Upo hapo?
Hahahahaaa zinamzingua dogo eeh ngoja tumtafutie maziwa fasterzile dawa nlizomwekea kwenye kinywaji.
Sawa vijana wamehamasika ila wasitake visivyokuwa level yao....mbona zamani walikuwa wanafunga na hapakuwa na hii michango?Unauliza ina maana gani,maana yake vijana wamehamasika kufunga ndoa... Iwe za harusi ama zisiwe za shughuliza kujaza watu..
Hahahahaaaa umeona eeeh kaazi kweli kweli....waambie "WABADILI TABIA"sasa kama huyo atataka kuchangiwa hadi hela ya suti..... Kwanini mtuusifanye sherehe ya uwezo wako?
Hivi hili ongezeko la michango ya harusi siku hizi linatokana na nini maana zamani hii mambo haikuwepo....yan mi naona kila nikipatacho kinaenda kwenye michango ya harusi na kila kukicha naletewa card...mi nishachoka sasa na kuwakatalia siwezi kwa kuwa mtu anakudai kama deni kabisa yan kila saa anapiga simu kukumbushia hadi inakuwa kero...
teh yan hatuwazi sana....mi nikifunga ndoa ndo mwisho wangu wa kuchangaAfu unamchangia mtu then next wk wanapeana talaka. Huku ni kuleteana hasara tu.
Dah pole sana mkuu...ndo ujue watu wanathamini sana anasa kuliko kusaidiana...unajua kutoa harusini labda kunakupandishia TITLE so watu wanaona kule ndo kunalipa kuliko kumsaidia either mgonjwa au km wewe.....haya maisha magumu sanaWe acha tuu, umenikumbusha nikiwa kidato cha 6 msimu wa likizo nikamwomba ndugu yangu 1 nauli akasema mambo yake hayaja kaa sawa,jion nika mpigia wife wake,akasema mbona tumetoka kwenye kikao cha harusi sahiv ya RAFIKI yake na amechangia laki 2!!!!!!!!!! Nilimwaga choz kidogo alafu nikakumbuka me ni mwanaume nikatabasamu kama mtu alicheka sana!!
Lakini haipaswi kuzidi kiwango....it is too much DataIts simply population explotion ErickB52.
Teh utashangaa mmechanga nyingi halafu harusi iko hovyooo then next week unameona bwana harusi amenunua ka Vitz
teh yan hatuwazi sana....mi nikifunga ndoa ndo mwisho wangu wa kuchanga
teh yan hatuwazi sana....mi nikifunga ndoa ndo mwisho wangu wa kuchanga