Is this material from the septic Tank?...Ni juzi tuu mkuu mmoja wa serikali alitangaza kua ugonjwa kama wa kisukari hauna dawa kabisa, leo gazeti la Mwananchi linatoa taarifa kua kuna mchungaji anatibu kisukari, ukimwi na magonjwa mengine sugu. Kinachishtusha sana ni kuona akili za waTanzania wengi namna gani zinaweza kukinaishwa maramoja.
Ugonjwa kama ukimwi kisukari nafikiri sio ugonjwa wa mtu kupewa kikombe kimoja cha dawa na kufika kwenye conclusion kua mtu ameshapona, tunaribu kua reasonable, hivi ni vitu vinahitaji muda kidogo ili kujua kua kweli dawa hiyo inatibu.
Upande mwingine ni ule wa mtu kudai kua ana mawasiliano na God hili nalo linahitaji kuangaliwa vizuri. Kinachoshtusha zaidi ni kusikia watu ambao tunawaamini kua ndio viongozi wa taifa letu kama wabunge mawaziri wanamiminika huko na mkuu wa mkoa anaiomba serikali ifacilatate mazingira ya watu kwenda. Hii ndio Tanzania yetu. Mungu ibariki dunia, Afrika na Tanzania
Ni juzi tuu mkuu mmoja wa serikali alitangaza kua ugonjwa kama wa kisukari hauna dawa kabisa, leo gazeti la Mwananchi linatoa taarifa kua kuna mchungaji anatibu kisukari, ukimwi na magonjwa mengine sugu. Kinachishtusha sana ni kuona akili za waTanzania wengi namna gani zinaweza kukinaishwa maramoja.
Ugonjwa kama ukimwi kisukari nafikiri sio ugonjwa wa mtu kupewa kikombe kimoja cha dawa na kufika kwenye conclusion kua mtu ameshapona, tunaribu kua reasonable, hivi ni vitu vinahitaji muda kidogo ili kujua kua kweli dawa hiyo inatibu.
Upande mwingine ni ule wa mtu kudai kua ana mawasiliano na God hili nalo linahitaji kuangaliwa vizuri. Kinachoshtusha zaidi ni kusikia watu ambao tunawaamini kua ndio viongozi wa taifa letu kama wabunge mawaziri wanamiminika huko na mkuu wa mkoa anaiomba serikali ifacilatate mazingira ya watu kwenda. Hii ndio Tanzania yetu. Mungu ibariki dunia, Afrika na Tanzania
Is this material from the septic Tank?...
Lengo lako nini kuandika takamwili hizi?
Unashangaa mawaziri kwenda huko...my hairs!..Hivi kuumwa kuna uwaziri?
Kwanini usimshangae mkwere aliyekuwa wa kwanza kwenda?
Du, bora jamani. Tumechoka kutembea na condomT
muda si mrefu hapa moshi... mzee mmoja aliyekatwa mguu huko india kwa kusumbuliwa na sukari na mpaka kuwa anajipiga insulin ku control sukari na hata sukari kuanza ku affect macho yake...ameniambia amepona na tangu arudi ana siku nne hajui dawa wala insulin vipo wapi na macho yanapona .... mashuhuda ni wengi wengi waliopona .... JWTZ wameweka kambi zao za matent kuhudumia wanaotafuta tiba .. naambiwa pia red cross wapo njiani .... jana kulikuwa na watu zaidi ya elfu hamsini na magari 2000
Waambieni redcross wapeleke mahema. Mimi naenda kujenga danguro a.k.a guest house hapo jirani sasa hivi.