mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
Nafikiri wengi ni wagonjwa wanatafuta tiba! Hivyo kunahatari kama wapo wenye magonjwa ya kuambukizana kwenye msongamano.Habari iko nusunusu haieleweki, Kuna maelfu wamefanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri wengi ni wagonjwa wanatafuta tiba! Hivyo kunahatari kama wapo wenye magonjwa ya kuambukizana kwenye msongamano.Habari iko nusunusu haieleweki, Kuna maelfu wamefanya nini?
Kuna nini kinachoendelea huko plz wadau tujuzeni sio wote tupo bongo!
Hapa unaweza kupata fununu ya yanayoendelea hukoKuna nini kinachoendelea huko plz wadau tujuzeni sio wote tupo bongo!
Serikali iko likizo, haiwezi kutatua matatizo ya wananchi kwani hata marais waliotangulia walishindwa kuyamaliza. Mkuu ana pesa zinazotosha tu kutalii pande zote za dunia kwanza na kuwaombea misaada ili watu wasife njaa, labda pesa zikibaki ndo atafikiria kuwasaidia watu wa Loliondo.Huko Loliondo kuna maelfu ya watu, hakuna choo,maji,hotel, na magonjwa ya mlipuko yakitokea itakuwa janga la Taifa.
Kwa nini serikali ipo kimya ikasaidia kuweka utaratibu?
Msalaba mwekundu waende huko ili watoe huduma
Hivi wewe unauliza serikali gani? Swala la kijamii sio swala la serikali..labda wasikie watu wameshakufa ndo utawasikia wakitoa tamko..wao wapo tayari kupambana na tatizo na sio kuzuia tatizo lisitokee! Wapo busy kujibu mashambulizi ya CDM
Huko Loliondo kuna maelfu ya watu, hakuna choo,maji,hotel, na magonjwa ya mlipuko yakitokea itakuwa janga la Taifa.
Kwa nini serikali ipo kimya ikasaidia kuweka utaratibu?
Msalaba mwekundu waende huko ili watoe huduma
Unajua mi nipo Arusha Jiji la JENIVA YA AFRIKA,takribani wiki mbili habari ambazo haziishi hamu ni kuhusu Mbabu wa Loliondo na maajabu ya dawa.Nauliza ametokewa na mzimuu ama maajabu ya Munguu???Ee ndugu zangu JF tufike mahali tujiulize mbona kama babu anatibu kwa sh 500 iweje wafanyabiashara wa mabasi watoze 80,000 hadi 100,000 kwa nauli wakati masharti ya dawa sh500 je huoni hapo Wataenda matajiri tu ?Na ndiyo maana nauliza Mbabu wa Loliondo katokewa na mzimu ama Maajabu ya Munguu?Babu anapunjika na wafanyabiashara wananufaika wagonjwa walioletewa neema ya dawa wanateseka na wanatamani waka muone Babu ila wakijisachi nauli wanazidi kukonda na ugonjwa unazidi.Wale jamaa wanaosimamia nauli sijui SUMATRA hivi hawataki tukamuone babu ndo maana bado nauliza Mbabu wa Loliondo ametokewa na mzimu ama na maajabu ya Munguu?Jamani wale watakaobahatika kwenda kesho mkienda mwambieni babu ashushe maajabu nauli kwenda huko kwake iwe sawa na malipo ya dawa jamaniwengi tunataka tuje tupate dawa