Jamani, kuweni waelewa...
Ingekuwa rahisi kumhamisha angehamishwa zamani.
Kama tyumeamua kunywa dawa(kikwetu tunaita.."Imbozyo") hiyo, na tufuate masharti yake bila kuanza kuweka ufundi wetu na viswahili virefu!
Hawezi kuhama huko, maana aliamrishwa atolee dawa hapo alipo.
Kama serikali inawapenda watu wake itengeneze njia na kuweka miundombinu ya kutosha huko!

na pia Mungu ameona uduni wa miundombinu katika eneo hilo kwa hiyo kutokana na babu pia ilo eneo linaweza kupata maendeleo kama serikali itatilia maanani
Akina tomaso ni wengi...
Tunapotoa hu mwito pia tudadavue kdg, eti ni kweli JK naye alikwenda kunywa dawa? Maana, karibuni alikwenda Loliondo eti kufukua nyayo! Hahaha
habari zlzopo ni kwamba km huyu babu atasogea mita 2 kutoka sehem mti wa dawa ulipo eti dawa inaacha kufanya kazi. Na ndiyo mana pia unaona haruhusu m2 kubeba dawa kuondoka nayo. Mungu amemwambia abaki eneo hlo hlo.
Nikifungua Bar karibu si nitapiga bao?
Tunapotoa hu mwito pia tudadavue kdg, eti ni kweli JK naye alikwenda kunywa dawa? Maana, karibuni alikwenda Loliondo eti kufukua nyayo! Hahaha
mbaya kabisa...utauza mpaka ulie......halafu wewe....
Nikifungua Bar karibu si nitapiga bao?
Jamani, kuweni waelewa...
Ingekuwa rahisi kumhamisha angehamishwa zamani.
Kama tyumeamua kunywa dawa(kikwetu tunaita.."Imbozyo") hiyo, na tufuate masharti yake bila kuanza kuweka ufundi wetu na viswahili virefu!
Hawezi kuhama huko, maana aliamrishwa atolee dawa hapo alipo.
Kama serikali inawapenda watu wake itengeneze njia na kuweka miundombinu ya kutosha huko!
Nenda pale TRAUMA CENTRE dsm msasani kumwona tu mtaalam ni sh 104 000 za kitanzania na watu wamejaaangekuwa anacharge mamilioni hapo kweli ningekuunga mkono, lakini kwa hiyo jero tu hapana hawezi kufanana na Shehe Yahaya
Kuna kichwa kinaitwa Ndodi, yeye kumuona tu 20000/, hapo bado dawa zinazofika mamilioni ya Shilings
hii ilishaletwa hapa, sio mpya sana
Nasikia kuna watu wanaenda na helcopter uko!
Ilo la kwaresma kusimama jamani vip lina ukweli?
Nasikia magari kwa sasa yameline up umbali wa 15km kuna ukweli?