Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Jamani, kuweni waelewa...
Ingekuwa rahisi kumhamisha angehamishwa zamani.
Kama tyumeamua kunywa dawa(kikwetu tunaita.."Imbozyo") hiyo, na tufuate masharti yake bila kuanza kuweka ufundi wetu na viswahili virefu!
Hawezi kuhama huko, maana aliamrishwa atolee dawa hapo alipo.
Kama serikali inawapenda watu wake itengeneze njia na kuweka miundombinu ya kutosha huko!
na pia Mungu ameona uduni wa miundombinu katika eneo hilo kwa hiyo kutokana na babu pia ilo eneo linaweza kupata maendeleo kama serikali itatilia maanani
