Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Jamani, kuweni waelewa...
Ingekuwa rahisi kumhamisha angehamishwa zamani.
Kama tyumeamua kunywa dawa(kikwetu tunaita.."Imbozyo") hiyo, na tufuate masharti yake bila kuanza kuweka ufundi wetu na viswahili virefu!
Hawezi kuhama huko, maana aliamrishwa atolee dawa hapo alipo.
Kama serikali inawapenda watu wake itengeneze njia na kuweka miundombinu ya kutosha huko!

na pia Mungu ameona uduni wa miundombinu katika eneo hilo kwa hiyo kutokana na babu pia ilo eneo linaweza kupata maendeleo kama serikali itatilia maanani
 
Vp nasikia ikianza Kwaresima shughuli zote zinasimama
 
na pia Mungu ameona uduni wa miundombinu katika eneo hilo kwa hiyo kutokana na babu pia ilo eneo linaweza kupata maendeleo kama serikali itatilia maanani

Nikifungua Bar karibu si nitapiga bao?
 
Tunapotoa hu mwito pia tudadavue kdg, eti ni kweli JK naye alikwenda kunywa dawa? Maana, karibuni alikwenda Loliondo eti kufukua nyayo! Hahaha

Kama ni kweli alikwenda nafikiri atakuwa wa msaada mkubwa... ahusishwe kwenye kumshawishi Mganga afanye huduma zake kufikiwa kwa urahisi ...
 
habari zlzopo ni kwamba km huyu babu atasogea mita 2 kutoka sehem mti wa dawa ulipo eti dawa inaacha kufanya kazi. Na ndiyo mana pia unaona haruhusu m2 kubeba dawa kuondoka nayo. Mungu amemwambia abaki eneo hlo hlo.

Sure mimi nimesikia watu wakiongea hivyo.Huyo mganga kwanza huko aliko sio nyumbani kwake,ni sehemu ya kazi.Alienda mahususi kwa ajili ya dawa hiyo.Kwake ni BABATI,NA NI MZALIWA WA MKOA WA MBEYA.Km Ingekuwa inawezekana angefanyia kwake moja kwa moja.Lakini inaonekana la kuhama haliwezekani.Labda serikali ifikirie kupeleka huduma pale.
 
Tunapotoa hu mwito pia tudadavue kdg, eti ni kweli JK naye alikwenda kunywa dawa? Maana, karibuni alikwenda Loliondo eti kufukua nyayo! Hahaha

Huko unaambiwa MA STK,SM,SU,DFP nk ndo mengi.Hapo sio jk tu,hadi wasaidizi wanatia timu kwa nguvu zote.
 
Nikifungua Bar karibu si nitapiga bao?

walio wengi wanaokwenda huko walishazuiwa hata kunywa pombe kwa sababu ya afya zao.We fikiria biashara ya restaurant,na toilet za kupangisha.Hapo utawakamata wengi.Kule maji 0.5litre ni bei ya bia...2000Tshs. Soda ndo usiseme.
 
Jamani, kuweni waelewa...
Ingekuwa rahisi kumhamisha angehamishwa zamani.
Kama tyumeamua kunywa dawa(kikwetu tunaita.."Imbozyo") hiyo, na tufuate masharti yake bila kuanza kuweka ufundi wetu na viswahili virefu!
Hawezi kuhama huko, maana aliamrishwa atolee dawa hapo alipo.
Kama serikali inawapenda watu wake itengeneze njia na kuweka miundombinu ya kutosha huko!

Hii isiwe ni dogma ... alternative medicine ziko dunia nzima..
..ziko chinese medicine...ziko indian medicine... ziko German medicine... NA ZOTE ZINAHAKISHIKA

Kama ni spiritual healing..Wako Spiritual leaders wangapi wanasafiri nchi nzima...

Inakuwaje yeye awe tofauti na wengine wote?

TUNASISITIZA ATOKE HUKO ALIPO AJE ARUSHA ...
NA TIBA YAKE IWE OFFICIAL TO MEET INTERNATIONAL STANDARDS...za tiba mbadala! What is the big issue on here?
 
angekuwa anacharge mamilioni hapo kweli ningekuunga mkono, lakini kwa hiyo jero tu hapana hawezi kufanana na Shehe Yahaya

Kuna kichwa kinaitwa Ndodi, yeye kumuona tu 20000/, hapo bado dawa zinazofika mamilioni ya Shilings
Nenda pale TRAUMA CENTRE dsm msasani kumwona tu mtaalam ni sh 104 000 za kitanzania na watu wamejaa
 
Nauli ya kwenda huko imepanda sana, sasa vipi kuhusu wagonjwa ambao hawana uwezo wa kufika huko?
 
Nasikia kuna watu wanaenda na helcopter uko!
Ilo la kwaresma kusimama jamani vip lina ukweli?
Nasikia magari kwa sasa yameline up umbali wa 15km kuna ukweli?
 
Helkopta za wafanyabiashara na magari zaidi ya 1,000 yakiwamo magari ya serikali, binafsi na mashirika ya kimataifa ikiwamo Umoja wa Mataifa (UN) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, yamefurika katika kijiji hicho kilichopo umbali ya takriban kilometa 400 kutoka Jiji la Arusha

Loliondo.jpg
 
AKIHOJIWA%2BMWANANCHI.JPG

Babu baada ya kazi nzito anakula interview na mapaparazi
 
Nasikia kuna watu wanaenda na helcopter uko!
Ilo la kwaresma kusimama jamani vip lina ukweli?
Nasikia magari kwa sasa yameline up umbali wa 15km kuna ukweli?

Njowepo; Huo ni ukweli usiopingika..umbali wa KM 15! just imagine!!!!

..Sasa does that make sense to anybody? ...

Na hao walioko kwenye misururu si watu watu wanakwenda harusini..au wabunge wanoelekea dodoma bungeni... NI WAGONJWA...

..Tusemeje kwenye kanuni za kuwahudumia wagonjwa tena wa magonjwa wa magonjwa sugu..kuwekwa kwenye hali kama hizo...Kisheria hiyo sio sawa kabisa.

..Chakula ??
...tena sio chakula tu...Tunaongelea chakula cha kuwa faa wangonjwa wa magonjwa sugu...
...Na wasio na helecopter!!!

Nasema..Huyo mtu atolewa huko mara moja.
 
Back
Top Bottom