Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mimi naumwa mapenzi.
Yaani mapenzi yangu kila siku yanazidi kwa JF..
Nikilala naota jf, nikiamka nawaza jf. Nikinywa maji naiona jf kwenye glasi.
Ndugu mtoa mada, nahisi huo ni ugonjwa. Naweza nikapata dawa ya kupunguza makali?
NB: Sitaki nipone kabisa.

ok. Nami ni tabibu,nadhan unakosa Vitamini ME. Kama ukitaka vitamin me,ebu download at gsana6@gmail.com, siuzi natoa bure jaman. Nb. Ni kwa akina dada tu,dozi ya umri usizidi miaka25.Karibuni.
 
Basi kwa taarifa yenu JAKAYA KIKWETE ameshakwenda huko kule kuchoka kwake sasa hivi ni kisukari. mama na baba mkwe wangu wanasumbuliwa na kisukari walikwenda huko na wakakutana na JK LIVE ameshaata tiba nimetoka kuongea na mama mkwe wangu sasa hivi ndo ananipa hiyo live. wakwe zangu wengine eapo ARUSHA walichukua basi lao wakaenda huko. washarudi na wanaendelea vizuri tu.nsikia wahindi ale A TOWN walitaka kumhamishia town pale akatoa nje. so plse wa tz acheni ubishi. mama mkwe wangu anasema hakuna charges hiyo mia tano ni uongo. gari za tours ndo zinapeleka watu huko kichwa laki moja na ishirini.
 
eehhh jamani ni wapi huko? mimi nina ndugu yangu aliye athirika yuko kenya
 
ok. Nami ni tabibu,nadhan unakosa Vitamini ME. Kama ukitaka vitamin me,ebu download at gsana6@gmail.com, siuzi natoa bure jaman. Nb. Ni kwa akina dada tu,dozi ya umri usizidi miaka25.Karibuni.

haya dokta. Dozi isizidi sekunde tatu lakini.
Halafu sipendi kunywa vidonge wala kuchomwa sindano.
 
Huyu bwana yupo, binafsi ndio nimetoka town this past mid night ku dispatch ndugu zangu wanne waliotokea Dar na wanaelekea huko. Kuna watu kama wa3 ninaowajua ambao walikuwa wanasumbuliwa na magonjwa haya sugu na sasa hivi wame recover. Kama una ndugu au wewe mwenyewe una matatizo u better go now as i doubt if this spiritual power shall last forever.

Kwa kukusaidia uliyoko mbali ukija Arusha piga namba hizi hawa mabwana ni moja ya wanao oganaize mambo ya usafiri.

0759-333219 - Vicent anamiliki magari
0684-299334 - Bosco dalali wa magari

Yeyote kati ya hao anaweza kusaidia mambo ya usafiri but I would be more than happy to assist should you need further assistance.
 
kwa kweli mungu ni wajabu amuongezee siku na watu tulivyo wasije mchakachua:A S 13:
 
Dawa ya ukimwi mbona ipo kitambo sana? kunywa chloroquine 40. au thiodani au dawa ya panya utapona ukimwi na hautaskia maumivu yoyote milele. kazi ipo kama unataka kutibu ukimwi tu na wewe ubaki hai.
 
aseme tu amegundua hiyo dawa - lakini kama kweli ni Mungu mbona ina masharti hivyo???? hapokei zaidi ya shs. 500/ kama unataka kutoa sadaka ya kumshukuru anakataa - anasema katoe kanisani or msikitini - Hauwezi kutoka na hiyo dawa hapo - kumpelekea mgonjwa aliye mbali - lazima mgonjwa aende hapo
why??????????? hayo masharti amepewa na Mungu gani???

ni kweli nina watu amepona lakini - USIJE PONA MWILI UKAIUZA NAFSI YAKO KWA SHETANI- inatakiwa kuwa makini sana - kama nimekosea namba kusahihishwa!!!!!
 
ni ndugu zangu wawili wamekwenda huko, ila sijafahamu kama kweli wamepona au la...lakini ni ukweli kuwa watu wengi wanakwenda huko na ni mchungaji mstaafu wa kanisa la kiluteri huko sonjo or something....na mimi nikisikia toka hao nitaweka response yao hapa, hao wote ni waathirika,,,,,,mungu anaweza kutumia vitu vinyonge vya dunia na kuponya na sio tu sayansi...yote yawezekana kwake ila kwa aaminiye

amen!
Amen!
 
Nafahamu hii mada ishawaki kuwekwa hapa JF, ila ningependa kukazia yale yaliyopata kuandikwa kuhusu uwezo wa yule mchungaji wa Loliondo anayetibu magonjwa yote sugu ikiwemo UKIMWI.
Wiki jana baba yangu mkubwa ambaye alikuwa anasumbuliwa sana na Kisukari na kulazimu kuondolewa pafu lake la kushoto katika hospital moja mjini moshi na bado hakupata najuu na kumfanya aanze kutoka vitonda mwili mzima na pafu lililobaki kuendelea kujaa maji leo hii ni mzima tena wakridhisha sana baada ya kwenda Loliondo, kiukweli hata mimi imenishangaza jinsi hii dawa inavyoweza poja kwa haraka, leo hii ninatoandika sredi hii vidonda vyote vimekauka na anaweza kutembea mwenyewe tena kwa sasa wala haitaji uangalizi wa karibu sana kwani amepata nguvu!
Kweli ukistaajabu ya Musa bila shaka utashangaa ya mchungaji wa Loliondo.
Sio hivyo tu, kuna jamaa hata mtaa alikuwa na virusi vinavyosababisha UKIMWI na ameenda Loliondo na sasa hadi anaonyesha cheti cha kuonyesha kuwa yupo Negative baada ya kwenda kupima tena hospital kupima tena: NOTE hii ya huyu jamaa nimesikia so sina uhakika 100% ila nitajitahidi kupata ukweli kwani nitaenda kumwona nihakikishe kwani ninamfahamu!
 
Hivi ni kwa nini hamwelezi namna ya kufika kwa huyu mganga mnaishia kusema tu Loliondo? ina maana loliondo kuna nyumba moja tu ya huyu mganga kiasi kwamba huwezi kupotea?
 
tuelekeze tutafikaje huko , jina la mganga, kijiji, na maelekezo ya namna ya kufika huko, hata numba ya simu ikiwezekana
 
Kwa wale waliopo Arusha kuna magari yanatoka stand adi hapo kwa mchungaji. Nauli ni elfu sitini kwenda na kurudi. ANGALIZO: kwa wale wenye magari binafsi barabara ni mbaya sana. Gari za kufaa ni landcruse,landrover na yote ya aina hiyo. Ukiwa Arusha city watu wanaonda ni wengi so njia ya kwenda utafahamu.
 
Back
Top Bottom