Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,337
Mimi naumwa mapenzi.
Yaani mapenzi yangu kila siku yanazidi kwa JF..
Nikilala naota jf, nikiamka nawaza jf. Nikinywa maji naiona jf kwenye glasi.
Ndugu mtoa mada, nahisi huo ni ugonjwa. Naweza nikapata dawa ya kupunguza makali?
NB: Sitaki nipone kabisa.
ok. Nami ni tabibu,nadhan unakosa Vitamini ME. Kama ukitaka vitamin me,ebu download at gsana6@gmail.com, siuzi natoa bure jaman. Nb. Ni kwa akina dada tu,dozi ya umri usizidi miaka25.Karibuni.