Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwongeze na Magufuliimani. Na si ajabu na ni kweli. Kama huamini waulize viongozi wako wa juu serikalini akiwemo pm na presdaa.
Je hiyo dawa inatibu kweli?
Yani kwa hayo mawili tu ndio umehitimisha kuwa ni mgonjwa? Unang'atwa kweli
jamani, kipindupindu ana hoja nzito!, kuna mtu alishajifanya nabii kule mkuranga lakini eti wakati akipokea ufunuo simu ikiita ufunuo unapotea ghafla!.. kuna mtu anajifanya nabii kule Tabata, anawaambia baadhi ya kina dada alale nao ndo wapone!.
Wengine kati ya hawa wanaojiita "Waponyaji "ukiachilia ugonjwa wa akili, wanakumbwa na mapepo, yanawadanganya, yanawaambia wao ni manabii n.k, lengo ikiwa ni kuwadanganya watu ili wayatumikie na kuyaabudu, yanawapa matumaini ya kuponya maradhi kama vile ukimwi, uzazi n.k... lakini at the end of the day yanawapeleka kusiko kabisa, unaweza kujikuta umegeuka kuwa mchawi bila kujijua, kwa kufuata mambo haya ya waganga!
Tuweni makini wanadamu, Shetani ni laghai mbaya kabisa
imani. Na si ajabu na ni kweli. Kama huamini waulize viongozi wako wa juu serikalini akiwemo pm na presdaa.
sasa kama kinachoponya ni imani , kwa nini watu waende kwa huyo mtu,? afu cjaelewa mpk leo huyu mtu ni mganga au mchungaji?imani. Na si ajabu na ni kweli. Kama huamini waulize viongozi wako wa juu serikalini akiwemo pm na presdaa.
even placebo(kanyaboya) can cure!!!
nakubaliana na wewe placebo can cure but tusiwakatishe tamaa hao wanaokwenda huko!IMANI YAO ITAWAPONYA!nawatakia mafanikio mema wote wanaoitafuta afya!naelewa ni jinsi gani mnavyopata mahangaiko kwa kutambua kwamba una gonjwa la kutisha!once again nawatakia mafanikio mazuri!
Waulize babu zako zamani walikuwa wanajitibu kwa kutumia dawa ganimimi naibeza kazi yake!kama amegundua dawa afuate taratibu,aende muhimbili kuna kitengo cha traditional medicine aeleze jinsi inavyofanya kazi,dose,inaingiaje na kutokaje mwilini,madhara yake(side effects),inaingiliana vipi na dawa nyingine(interaction with other drugs),inatumikaje kwa makundi maalum mfano watoto,wazee au wajawazito.
Imefanyiwa majaribio lini,wapi na kwa nani?haya ni baadhi ya maswali ambayo anatakiwa kuyatolea ufafanuzi.bila kujibu maswali haya halafu unaibuka from nowhere na kujidai unatibu!huu ni ukichaa wa aina fulani.naomba apate huduma ya psychiatry haraka iwezekanavyo.
dawa gani hiyo inayotibu kisukari,ukimwi,B.P kwa pamoja
Haya magonjwa ni tofauti sana na visababishi vyake ni tofauti, kamwe haiwezi kutibu yote haya.
hawakatishwi tamaa,wanaelimishwa tu.
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kugundua mambo mawili muhimu hasa kwa jinsi anavyojieleza.
1.grandiose delusion-ile hali ya kujikweza ati yale majani lazima ayaombee yeye ili yaweze kukutibu.
2.hallucination-eti mungu alimuonyesha noti ya 500 na hivyo hii ndio bei ya matibabu.
Mwenye masikio na asikie,huyu mtu ni mgonjwa na anahitaji tiba haraka iwezekanavyo.
Jee, unajuwa kwa nini Muarubaini ukaitwa Muarubaini?