Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa haina madhara je inatibu kweli au inatibu kwa imani?Kwa mujibu wa taarifa ya habari Tbc mchana huu inasema wizara ya afya imethibisha hilo kuwa dawa ya babu haina madhara kwa binadamu.
Sawa haina madhara je inatibu kweli au inatibu kwa imani?
Hivi kweli serikali haioni madhara ya kumuendekeza huyu babu wa KKKT(Kunywa Kikombe Kimoja Tu). Tunaambiwa wanakufa watu sio chini ya watano kwa siku.
Hivi kweli serikali haioni madhara ya kumuendekeza huyu babu wa KKKT(Kunywa Kikombe Kimoja Tu). Tunaambiwa wanakufa watu sio chini ya watano kwa siku.
watu waendelee kupata kikombe, UDSM,NIMRI na wizara ya afya wamethibitsha uhalisia wa dawa kwa wale wanaotamani ilete madhara kama mediaman na wengieo sijui watasemaje tena?????? Tuwaache wenye imani wakanywe dawa.
Hivi kweli serikali haioni madhara ya kumuendekeza huyu babu wa KKKT(Kunywa Kikombe Kimoja Tu). Tunaambiwa wanakufa watu sio chini ya watano kwa siku.
umeambiwa wanakufa baada ya kunywa dawa? na kama wanakufa baada ya kunywa dawa,unajuaje siku zao zilikuwa zimefika au walikiuka masharti?manake babu anasema watu wasikatize matibabu hadi wathibitike mtu anakunywa anaacha kunywa dawa alizokuwa anatumia kabla!!!! kwa taarifa zinazotangazwa na vyombo vya habari wengi wanakufa hawajamfikia babu!!! bora wamethibitisha manake kuna watu walipata la kusema na kuhoji imani za wenzao.:juggle:
Hivi kweli serikali haioni madhara ya kumuendekeza huyu babu wa KKKT(Kunywa Kikombe Kimoja Tu). Tunaambiwa wanakufa watu sio chini ya watano kwa siku.
hii dawa nami naiamini kwa kiasi fulani lakini hili suala la ushahidi linaleta utata. Ofisini kwetu kuna mtu ana sukari/hiv lakini tangia arejee kutoka Loliondo ni zaidi ya majuma mawili lakini hatwambii lolote!Mkuu kulithibitisha hilo bado. Tungepata m2 humu jamvini ambae ametumia na kuthibitisha kupona ingekuwa vizuri zaidi. Tatizo suala hili tumekuwa tunalizungumzia sana na uthibitisho hatujapata. Mimi pia ninashauku kubwa ya kupata huo uthibitisho wa kuponyesha au la.
Naangalia Tbc1 serikali imethibitisha kuwa Dawa ya Babu Loliondo haina madhara lakn wanachokifanya ni kuja kuthibitisha kama kwel inaponya au la magonjwa yalitajwa kuwa inaponya.
Source: Tbc1 habari saa 7 mchana
Swali lilikua ni kutibu au kutokutibu hizi nyingine ni porojo tu!kwa hiyo nikinywa ndoo nzima ya dawa ya babu sitakufa.where in the world dawa ikawa haina side effects?huu ni upupu!
Serikali yetu ingebaki bila DINI wala IMANI yoyote hata kwa suala kama hili. Badala yake VIONGOZI wetu kwa kuwa wao wanaweza kumfikia kigagula huyu wanamtangaza kwelikweli. Wanasababisha msongamano wa ajabu wa watu wetu.umeambiwa wanakufa baada ya kunywa dawa? na kama wanakufa baada ya kunywa dawa,unajuaje siku zao zilikuwa zimefika au walikiuka masharti?manake babu anasema watu wasikatize matibabu hadi wathibitike mtu anakunywa anaacha kunywa dawa alizokuwa anatumia kabla!!!! kwa taarifa zinazotangazwa na vyombo vya habari wengi wanakufa hawajamfikia babu!!! bora wamethibitisha manake kuna watu walipata la kusema na kuhoji imani za wenzao.:juggle: