lost cousin
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 212
- 369
Hauwajui wanawake! 😁Wanawake ili uwaoe na mkae vizuri utatakiwa mambo haya
1. Akili za kiume
2. Uhuni
3. Ubabe kiasi
4. Pesa za hapa na pale.
5. Nguvu za kiume
Wanawake ili uwaoe na mkae vizuri utatakiwa mambo haya
1. Akili za kiume
2. Uhuni
3. Ubabe kiasi
4. Pesa za hapa na pale.
5. Nguvu za kiume
..... probably lilikua chaguo lisilo sahihi, tukubali tu kuwa licha ya kuwa umakini mkubwa unahitajika ktk kutafuta mke lakini Io guarantee kwamba lazima update mke sahihi kupretend kabla ya ndoa au kabla ya kuishi pamoja kupo sana, lakini pia human behavior is dynamic depending on available circumstance and situation, so tutimize yote kwa nafasi yetu kama wanaume na pia Mungu ashirkishwe ktk haya mambo...Nawasalimu kwa jina la JF ...nimejarbu sogea tukae nimetoka KO.. najarbu kujinasua nayo maana maji yamezid unga.. # THE THING I FEARED MOST HAS HAPPENED TO ME#
Mambo ni mengi hata kuelezea nashindwa..
Hauwajui wanawake! 😁
Kama ni hivyo basi wewe ni kichaa nguli 😂namuona kama likichaa kabsaa...
Solution ya kwanza kabisa ni kuaza kucontrol population jamii yoyote ya watu masikini haitakiwi kuwa na idadi kubwa ya watuNI AJABU NA KWELI
Hapa nyumbani nmehamia miezi 2 imepita nmekuta ndoa mbili na single mama 2 na single male 1 na mimi jumla single male 2.
HIVI SASA Yule single male mwenzangu kahama kahamia single mama na zile ndoa 2 si ndoa tena maana hyo nyumba nzima hakuna ndoa tena.Wote singular tu.
Mahusiano ni changamoto sana siku hz.
Hii ni hapa maskani nilipo sjui kaya zingne huko hali ikoje
Mungu tusaidie vijana wa zama hizi maana sasa ni umekuwa wakati mbovu sana kwa maendeleo ya jamii,ustawi wa familia na afya ya mahusiano.
SIJUI TATIZO NI NINI KWAKWELI.
Ni kweli?Mbele kabisa kustoto dirishani[emoji144]
Wanakuja
Hapana si kweli!! Ndoa nzuri sana ndoa ni heshima ndoa ni Jambo jema/zuri!Ni kweli?
Sijui vijana mmepatwa na nini? Wengine mko tu mnaingia wazima wazima kwenye kampeni msizojua agenda zake..Wanawake wameharibu ndoto za wanaume wengi,
Wa Binti wameharibu ndoto za vijana Wengi wa kiume.
Sikilizeni vijana wa kiume kama mnataka kuishi Kwa furaha na amani epukeni kabisa wanawake,
Ogopa ndoa, kataeni ndoa,
Ndoa ni mtego , ndoa ni wizi, ndoa ni utapel, ndoa ni ujambazi, ndoa ni kwa ajiri ya wanaume wadhaifu tu.
Ee Kijana wa kiume kama unataka kuwa imara basi pambana pasi na uwepo wa mwanamke,
Samson alifeli sababu ya mwanamke,
Adam alifeli sababu ya mwanamke.
[emoji419]Wanawake ni narcissist and opportunitsisty[emoji419]
Wanawake wote lengo Lau ni kutufanya sisi wanaume kama madaraja kwa ajiri ya kufikia malengo yao.
Wakorintho 7
"7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe"
Kataa ndoa.
Ndoa ni wizi.
Ndoa ni utapel.
Ndoa ni kwa wanaume wadhaifu