Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

NI AJABU NA KWELI
Hapa nyumbani nmehamia miezi 2 imepita nmekuta ndoa mbili na single mama 2 na single male 1 na mimi jumla single male 2.

HIVI SASA Yule single male mwenzangu kahama kahamia single mama na zile ndoa 2 si ndoa tena maana hyo nyumba nzima hakuna ndoa tena.Wote singular tu.
Mahusiano ni changamoto sana siku hz.

Hii ni hapa maskani nilipo sjui kaya zingne huko hali ikoje

Mungu tusaidie vijana wa zama hizi maana sasa ni umekuwa wakati mbovu sana kwa maendeleo ya jamii,ustawi wa familia na afya ya mahusiano.

SIJUI TATIZO NI NINI KWAKWELI.
 
Nawasalimu kwa jina la JF ...nimejarbu sogea tukae nimetoka KO.. najarbu kujinasua nayo maana maji yamezid unga.. # THE THING I FEARED MOST HAS HAPPENED TO ME#
Mambo ni mengi hata kuelezea nashindwa..
..... probably lilikua chaguo lisilo sahihi, tukubali tu kuwa licha ya kuwa umakini mkubwa unahitajika ktk kutafuta mke lakini Io guarantee kwamba lazima update mke sahihi kupretend kabla ya ndoa au kabla ya kuishi pamoja kupo sana, lakini pia human behavior is dynamic depending on available circumstance and situation, so tutimize yote kwa nafasi yetu kama wanaume na pia Mungu ashirkishwe ktk haya mambo...
 
Inshort hakuna mwanamke/mwanaume wa peke yako sasa jichanganye umlinde mkeo/mmeo utakufa mapema sanaaa ...ila pamoja na hayo mimi sipo upande wa wanaokataa ndoa kwa 65% NB:Tuendelee kuishi nao kwa akili.
 
NI AJABU NA KWELI
Hapa nyumbani nmehamia miezi 2 imepita nmekuta ndoa mbili na single mama 2 na single male 1 na mimi jumla single male 2.

HIVI SASA Yule single male mwenzangu kahama kahamia single mama na zile ndoa 2 si ndoa tena maana hyo nyumba nzima hakuna ndoa tena.Wote singular tu.
Mahusiano ni changamoto sana siku hz.

Hii ni hapa maskani nilipo sjui kaya zingne huko hali ikoje

Mungu tusaidie vijana wa zama hizi maana sasa ni umekuwa wakati mbovu sana kwa maendeleo ya jamii,ustawi wa familia na afya ya mahusiano.

SIJUI TATIZO NI NINI KWAKWELI.
Solution ya kwanza kabisa ni kuaza kucontrol population jamii yoyote ya watu masikini haitakiwi kuwa na idadi kubwa ya watu
 
Wanawake wameharibu ndoto za wanaume wengi,
Wa Binti wameharibu ndoto za vijana Wengi wa kiume.
Sikilizeni vijana wa kiume kama mnataka kuishi Kwa furaha na amani epukeni kabisa wanawake,
Ogopa ndoa, kataeni ndoa,
Ndoa ni mtego , ndoa ni wizi, ndoa ni utapel, ndoa ni ujambazi, ndoa ni kwa ajiri ya wanaume wadhaifu tu.

Ee Kijana wa kiume kama unataka kuwa imara basi pambana pasi na uwepo wa mwanamke,
Samson alifeli sababu ya mwanamke,
Adam alifeli sababu ya mwanamke.
📌Wanawake ni narcissist and opportunitsisty📌
Wanawake wote lengo Lau ni kutufanya sisi wanaume kama madaraja kwa ajiri ya kufikia malengo yao.

Wakorintho 7
"7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe"

Kataa ndoa.
Ndoa ni wizi.
Ndoa ni utapel.
Ndoa ni kwa wanaume wadhaifu
 
kama nyie mkiamua kusimamia misimamo yenu na sisi tutaweza kua sawasawa

mfano, unamuona msichana unamfata unamtongoza anakukatalia kubali kukataliwa, mwanamke naye akiambiwa mimi ni mume wa mtu akubali kumuacha mume wamtu sio tena tamaa mbele mbele

mnataka kutumikia mabwana wawili mtaweza vipi?? ndoa ikiheshimiwa mbona ni sehem salama pa kuishi
 
Wanawake wameharibu ndoto za wanaume wengi,
Wa Binti wameharibu ndoto za vijana Wengi wa kiume.
Sikilizeni vijana wa kiume kama mnataka kuishi Kwa furaha na amani epukeni kabisa wanawake,
Ogopa ndoa, kataeni ndoa,
Ndoa ni mtego , ndoa ni wizi, ndoa ni utapel, ndoa ni ujambazi, ndoa ni kwa ajiri ya wanaume wadhaifu tu.

Ee Kijana wa kiume kama unataka kuwa imara basi pambana pasi na uwepo wa mwanamke,
Samson alifeli sababu ya mwanamke,
Adam alifeli sababu ya mwanamke.
[emoji419]Wanawake ni narcissist and opportunitsisty[emoji419]
Wanawake wote lengo Lau ni kutufanya sisi wanaume kama madaraja kwa ajiri ya kufikia malengo yao.

Wakorintho 7
"7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe"

Kataa ndoa.
Ndoa ni wizi.
Ndoa ni utapel.
Ndoa ni kwa wanaume wadhaifu
Sijui vijana mmepatwa na nini? Wengine mko tu mnaingia wazima wazima kwenye kampeni msizojua agenda zake..
 
Mitihani yote niliyompa yule binti kanipigia mabanda kila kiunzi nilichomwekea mtoto wa kike kakiruka, mkuu mambo yakiwa sawa namweka ndani kuna kipindi akaniambia we km una wanawake zako huko endelea nao tu sitakufuatilia Ila isiwe sababu ya kunisahau mimi najua mwanaume hawezi kua na mwanamke mmoja, nikasema eenhe hapa ndio penyewe napenda niwe treated like a king ulisikia wapi mfalme ana mke mmoja?
 
Back
Top Bottom