Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Unaweza kukuta kuna mtu nae yupo kwenye hii kampeni ya kataa ndoa ila yeye mwenyewe ameoa na ana familia yake,

Social media ni zaidi ya uijuavyo.
 
Oa sasa uone cha mtema kuni. Atajisahaulisha kila kitu alichokwambia. Mtagawana hako kavitz kati kwa kati. Kachepuke uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…