Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima kuoa - hasa siku hizi!Unajua vijana mnadanganyana sana. Saiz unaona kama unajimudu kuwa peke yako kwamba kila kitu unaweza kufanya lakin amin mwanaume bila mwanamke hajakamilika kuna mda unakuja wew mwenyewe bila kulazimishwa utao.
.
Sasa bas omba sana uo wakati unavyokuja uwe umempata mtu sahii la sivyo hayo majuto unayoona walioa wanajututia ndio yatayokukuta wewe...
Kwanza kabisa natuma salamu kwa wanadoa wote wanaoziheshimu ndoa zao na kuvumilia changamoto zote za ndoa
pili salamu zangu ziwafikie wale wote wanaozikimbia ndoa zao na kutelekeza watoto, kwakufanya hivyo wamethibitisha kuwa Mungu alikosea kuwaumba jinsia ya kiume.
𝐔𝐉𝐔𝐌𝐁𝐄
𝑴𝒏𝒂𝒐𝒕𝒆𝒔𝒆𝒌𝒂 𝒏𝒂 𝒏𝒅𝒐𝒂 𝒎𝒔𝒊𝒕𝒖𝒕𝒊𝒔𝒉𝒆 𝒔𝒊𝒔𝒊 𝒗𝒊𝒋𝒂𝒏𝒂 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒐𝒕𝒂𝒓𝒂𝒋𝒊𝒂 𝒌𝒖𝒐𝒂 𝒔𝒐𝒐𝒏, 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒂 𝑵𝒅𝒐𝒂 𝒏𝒂 𝒃𝒂𝒓𝒂𝒌𝒂 𝒛𝒂𝒌𝒆 𝒏𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒎𝒐𝒕𝒐 𝒛𝒂𝒌𝒆 𝒑𝒊𝒂, 𝒂𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆𝒏𝒊
Anhaaa kwa hiyo kumbe wasioe wala wasiolewe!!Soma hizi comment madam [emoji116][emoji116][emoji116]
Ndoa banaa NOMAA.
Walio ndani wanataka kutoka na walio nje wanataka kuingia..!!!
#YNWA
Aoe mke wa piliSi niliwaambia msioe?
Mcheki huyu mwamba ndoa inavyomuua.
Hii imetokea kazini,
Huyu jamaa kanihuzunisha sanaaa...
Mkurugenzi kaunda team ya watu 4 kumsaidia Kazi fulani hivi huko field.
Katoa na gari.
Katika hiyo timu tupo wa4 + dereva jumla wa5.
Kati yetu aliyeoa ni mmoja tu na kwakuwa kaenda age kidogo kuliko sisi then tuliamua kumpa ukuu wa msafara.
Sasa bana Kazi yenyewe tuliyopewa ilianza 20/12/2021.
Tulipiga Kazi na kuelewana 23/12 turudi makwetu kimyakimya tukale sikukuu na atakayepigiwa simu ajibu tupo kazini/field.
Ila huyu jamaa aliyeoa alikataa "Lazima tupige kazi mpaka sikukuu (X-Mass), tuheshimu Kazi za watu hizi jamani"
Aisee wotee tulimshangaa "Braza halmashauri ya baba ako?"
Baada ya mzozo mrefu sisi ndio tulishinda.
Tukasepa 23 na kurudi field 27/12.
Hali hiyohiyo ikajitokeza mwaka mpya.
Aligoma kurudi makwetu tarehe 29 ili tukale sikukuu.
Na kuonyesha yupo serious alipiga simu ofisini kuwa tunataka kumfelisha mkurugenzi.
Sasa bana Hawa raia wengine walimkasirikia balaaa.
Kwenye mapumziko ya usiku wa 29/12 Mimi ilinibidi nimpeleke bar fulani hivi chemba na kumuuliza "Braza unataka kutufanyisha Kazi mwaka mpya kwani halmashauri ya baba ako?"
Aisee baada ya bia kukolea mwamba aliamua kufunguka hasaa.
Alisema...
Kazini watu humuona yeye mchapakazi Bora, wanamuona sio mtoro kazini, wanamuona akipiga Kazi mpaka sikukuu, wanamuona ni mpiga Kazi mpaka usiku (huyu mwamba siku nyingine hutoka kazini saa 4 usiku).
Basi raia wanamsifiaaa kwamba ni mchapakazi, kumbe mwamba huwa ANAKIMBIA MAKELELE YA MKEWE NYUMBANI ...!!!
Anasema Ndoa yake ni ngumu sanaa na kinacholeta ugumu ni mdomo wa mkewe.
Mkewe ni mbogo hasa, ukimchokonyoa tu ni kama shimo la siafu, ni full kutapika neno lolote alionalo kwake linamfaa..!!!
Hali hii imemfanya jamaa kukimbia nyumbani na hali hii imemfanya apaone kwake ni jehanamu ya amani yake...!!!
Ndio maana hata zile sikukuu kama tusipoingia kazini basi ni yeye kwenda kuishi na mkewe siku nzima ndani..!!!
Ila kwenye maongezi yake anasema, alioa 2016 na mkewe alimkuta jamaa ana maisha kiasi (gari na nyumba vilikuwepo).
Kwahiyo mkewe alikuja kwenye maisha yake akiwa na maisha tayari.
Yeye na mkewe Wana watoto Wa3.
Hawezi kumuacha kwasababu ya watoto ila pia mdomo wake umemshinda...!!!
Nilibaki kumuonea huruma tu.
Sasa mi najiuliza....
1. Yaani alioa ili aikimbie nyumba yake aliyoijenga kwa gharama?
2. Kama anarudi usiku means yeye na watoto hawaonani, Kwahiyo alioa ili Awe ANAKIMBIA watoto?
3. Sasa kama alikua tayari na maisha KWENYE NDOA ALIENDA KUTAFUTA NINI?
ILA KUNA RAIA WABISHI...
Msioe ndugu zangu MTAKUFA.
We una nyumba una gari UNAOA ILI UTAFUTE NINI?
Inakuaje mwanamke uliyemtolea Mahari akufanye ukimbie nyumba?
Ila bana mwisho wa siku kama pole nilimpa na field hatukuingia...!!
Nilimwambia aende tu kupambana na mkewe sisi ma single men tukale sikukuu na usingle wetuu..!!!
Yaani baharia...
Unamuona mwamba anakomaa na Kazi mpaka usiku KUMBE NYUMBANI PAMOTO.
Unamuona baharia aondoki mapema bar KUMBE NYUMBANI PAMOTO.
Unamuona mkulungwa kila siku akitoka job ni kuzurura KUMBE NYUMBANI PAMOTO..
MSIOE MTAKUFA.
Tuendelee kutafuta hela
"If you think money can't bring happiness then go and ask the homeless and the Jobless"
#YNWA
UbarikiweAMEN. Mungu na akufanyie sawasawa na uonavyo nafsini mwako.
Sema NN,mkuu,haya mambo buana we Acha Tu,kuna dada nimezaa nae ,mm kanda yaziwa yy,kusini,SASA anahitaji aje kwangu ili tulee mtoto japo aache kunyonya ili kila MTU anedelee nahamsini zake ,tatizo nihayo makelele yanayoambatana naugomvi mkubwa kiasi cha kuweza kuumizana mwili,Si niliwaambia msioe?
Mcheki huyu mwamba ndoa inavyomuua.
Hii imetokea kazini,
Huyu jamaa kanihuzunisha sanaaa...
Mkurugenzi kaunda team ya watu 4 kumsaidia Kazi fulani hivi huko field.
Katoa na gari.
Katika hiyo timu tupo wa4 + dereva jumla wa5.
Kati yetu aliyeoa ni mmoja tu na kwakuwa kaenda age kidogo kuliko sisi then tuliamua kumpa ukuu wa msafara.
Sasa bana Kazi yenyewe tuliyopewa ilianza 20/12/2021.
Tulipiga Kazi na kuelewana 23/12 turudi makwetu kimyakimya tukale sikukuu na atakayepigiwa simu ajibu tupo kazini/field.
Ila huyu jamaa aliyeoa alikataa "Lazima tupige kazi mpaka sikukuu (X-Mass), tuheshimu Kazi za watu hizi jamani"
Aisee wotee tulimshangaa "Braza halmashauri ya baba ako?"
Baada ya mzozo mrefu sisi ndio tulishinda.
Tukasepa 23 na kurudi field 27/12.
Hali hiyohiyo ikajitokeza mwaka mpya.
Aligoma kurudi makwetu tarehe 29 ili tukale sikukuu.
Na kuonyesha yupo serious alipiga simu ofisini kuwa tunataka kumfelisha mkurugenzi.
Sasa bana Hawa raia wengine walimkasirikia balaaa.
Kwenye mapumziko ya usiku wa 29/12 Mimi ilinibidi nimpeleke bar fulani hivi chemba na kumuuliza "Braza unataka kutufanyisha Kazi mwaka mpya kwani halmashauri ya baba ako?"
Aisee baada ya bia kukolea mwamba aliamua kufunguka hasaa.
Alisema...
Kazini watu humuona yeye mchapakazi Bora, wanamuona sio mtoro kazini, wanamuona akipiga Kazi mpaka sikukuu, wanamuona ni mpiga Kazi mpaka usiku (huyu mwamba siku nyingine hutoka kazini saa 4 usiku).
Basi raia wanamsifiaaa kwamba ni mchapakazi, kumbe mwamba huwa ANAKIMBIA MAKELELE YA MKEWE NYUMBANI ...!!!
Anasema Ndoa yake ni ngumu sanaa na kinacholeta ugumu ni mdomo wa mkewe.
Mkewe ni mbogo hasa, ukimchokonyoa tu ni kama shimo la siafu, ni full kutapika neno lolote alionalo kwake linamfaa..!!!
Hali hii imemfanya jamaa kukimbia nyumbani na hali hii imemfanya apaone kwake ni jehanamu ya amani yake...!!!
Ndio maana hata zile sikukuu kama tusipoingia kazini basi ni yeye kwenda kuishi na mkewe siku nzima ndani..!!!
Ila kwenye maongezi yake anasema, alioa 2016 na mkewe alimkuta jamaa ana maisha kiasi (gari na nyumba vilikuwepo).
Kwahiyo mkewe alikuja kwenye maisha yake akiwa na maisha tayari.
Yeye na mkewe Wana watoto Wa3.
Hawezi kumuacha kwasababu ya watoto ila pia mdomo wake umemshinda...!!!
Nilibaki kumuonea huruma tu.
Sasa mi najiuliza....
1. Yaani alioa ili aikimbie nyumba yake aliyoijenga kwa gharama?
2. Kama anarudi usiku means yeye na watoto hawaonani, Kwahiyo alioa ili Awe ANAKIMBIA watoto?
3. Sasa kama alikua tayari na maisha KWENYE NDOA ALIENDA KUTAFUTA NINI?
ILA KUNA RAIA WABISHI...
Msioe ndugu zangu MTAKUFA.
We una nyumba una gari UNAOA ILI UTAFUTE NINI?
Inakuaje mwanamke uliyemtolea Mahari akufanye ukimbie nyumba?
Ila bana mwisho wa siku kama pole nilimpa na field hatukuingia...!!
Nilimwambia aende tu kupambana na mkewe sisi ma single men tukale sikukuu na usingle wetuu..!!!
Yaani baharia...
Unamuona mwamba anakomaa na Kazi mpaka usiku KUMBE NYUMBANI PAMOTO.
Unamuona baharia aondoki mapema bar KUMBE NYUMBANI PAMOTO.
Unamuona mkulungwa kila siku akitoka job ni kuzurura KUMBE NYUMBANI PAMOTO..
MSIOE MTAKUFA.
Tuendelee kutafuta hela
"If you think money can't bring happiness then go and ask the homeless and the Jobless"
#YNWA
Sana,Sana yaani aisee ukiona dalili zahatari namwenza wako niheri kukaa mbalimbaliMheshimiwa umerudi na hizi kesi za kuuana wanandoa ni nyingi kuliko ajali
True mkuu,yaani wanasailolojia,sijui wachungaji hawafanyi KAZI Yao inayotakiwaIla kikweli ndoa nyingi zinadumu kwa sababu ya watoto wasipate tabu, lakini yale mapenzi yaliyowakutanisha yalishazama na Mv. Bukoba
Duuu,hard way is the only way!Mwanamke anahitaji mwanaume mbabe, mshenzi asiye na huruma
Ukijifanya Mr.love umekwenda na maji.
Usiwajali watoto kuliko kujijali wewe MWENYEWE. Hawatakusaidia lolote.
Jifunze kuwa Mwanaume ndipo uoe.
Usiendeshwe na maneno ya Mwanamke.
Akikuzingua mara moja tambaa naye mara elfu mpaka Ajue amekosea njia.
Timua
Usipotimua utatimuliwa.
Mtu ni mwanaume bado mwanamke akusumbue huo ni upumbavu
Fafanua zaidi mkuu ,tupate nadini kutoka kwako,umeuficha Sana ujumbe wakoUnajua vijana mnadanganyana sana. Saiz unaona kama unajimudu kuwa peke yako kwamba kila kitu unaweza kufanya lakin amin mwanaume bila mwanamke hajakamilika kuna mda unakuja wew mwenyewe bila kulazimishwa utao.
.
Sasa bas omba sana uo wakati unavyokuja uwe umempata mtu sahii la sivyo hayo majuto unayoona walioa wanajututia ndio yatayokukuta wewe...
Inawezekanaje uone nabado unakula maisha mkuu,tupe mbinu zakivita nahatutaki kukurupa ,natanguliza shukraniSisi tunaoa na tunakula raha kama kawaida.
Msikurupukie kuoa, mtaoa majini yatawafyonza damu, shauri yenu.
Kwani aliekuambia usipo oa ndio maisha yako yanakuwa tulivu raha na starehe kila siku ni nani.???.ww unadhani wazinifu hawauniani au hawagombani?? Ni maisha ya kawaida tu hayo. Ni mitihani ya kawaida ambayo mnaweza kukaa chini na kusolve yakaishaSi niliwaambia msioe?