Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Yaani azidi kuongeza matatizo maishani?

#YNWA
Hapana mkuu

Mwanaume hawezi na hana ubavu wa kupambana na mwanamke. Mkeo akiwa msumbufu jambo la msingi ni kuoa mke wa pili.

Hapo itakuwa jukumu lao kuoneshana nani zaidi. Yaani nani anakupenda zaidi, nani anakujali zaidi, nani mkali kwenye mapishi, nani mkali kwa usafi. Nani mkali kwa mipango ya maendeleo. Kimsingi itamsaidia mno. Hivyo mume wao atakuwa huru kusaka mahela. Badala ya kutumia muda wako kujibizana maneno na mke mmoja.

Hiyo ndio kanuni!
 
Ukiona umeoa na yamekukuta usisite kupitia hizi nyuzi na kutushukuru kuwa tulikuonya na hukusikia....

Achaneni na swala la ndoa.
 
Bora kula bia,kula vizuri.


Hiki ndo nakifanya tangu mwaka jana mwezi wa nne.Najipenda mimi kwanza kuliko mtu mwingine yeyote. Maana alichonifanya yule dada nadhani ameelewa sasa vile Mungu amelipa.

Maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom