Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa
Mkuu vipi dingi umemalizana nae au bado mnashikana mashati? [emoji2][emoji2]Huwa nacheka sana thread zako za ugomvi na dingi akoUsimwonee huruma mwanamke ,akigundua tu umekwisha.
Kula sepa. HAPO NDIO UMENENA
Kisa ana dada ndio mfanye ujinga??Dada zako wakifanyiwa hivyo pia usitafute mchawi
Nishamjibu huyo mpuuzi kwamba sina dadaKisa ana dada ndio mfanye ujinga??
Geuzia upande wako hiyoKisa ana dada ndio mfanye ujinga??
Bora kula bia,kula vizuri.
Hiki ndo nakifanya tangu mwaka jana mwezi wa nne.Najipenda mimi kwanza kuliko mtu mwingine yeyote. Maana alichonifanya yule dada nadhani ameelewa sasa vile Mungu amelipa.
Maisha yaendelee
Huwezi kukosa dada damu yangu. Awe wa bamkubwa, wa mamdogo, wa nani sijui ni dada yako huyo, ukimkuta kainamishwa sehemu lazima nafsi ikuume, ndio nduguyo huyo. Huna dada basi hata mama unae, hukosi ndugu jinsia ya kike.
Sasa kwanini na nyie mnamuumiza hivyo?Dada zako wakifanyiwa hivyo pia usitafute mchawi
Wasipokuelewa basi.We yamekukuta shauri yako, sie wenzio tushatomba saana, tushafanya uhuni saana, mwishowe tumeona muhimu kuoa.
Jambo la msingi inapofikia hatua ya kuoa, oa mwanamke sababu anafaa kiwa mkeo, usioe kwa uzuri, usioe kwa akili za nyege, usioe sababu anakufinyia kwa ndani, oa mke, vijana tunakwama hapa kwenye kuoa, tunakimbilia pisi ili washikaji watusifu tuna wake wakali, ila ndani mateso, oa mwanamke ambae yeye bila ww hawezi, sio wewe bila yeye hawezi.
Lazima ujiulize why unaoa, kisha utapita njia sahihi. Ndoa ni jambo la mungu, yeye ndio katutaka tuoe, sasa tunafata amri ya muumba, tunaacha ushauri wake, tunafanya jambo la mola kihuni huni tu.
Tomba wee, ruka ruka wee, ila MKE ni jambo la muhimu, sio mwanamke, namkwambia MKE.
wanawake wapo wa aina hizo [emoji3577](sema mbili) [emoji23]
Kuna wanawake hao ni wa kutombwaa tu, huyu ukipata we toa nyege zako mbimbilise kadri unavyojiweza, ila usithubutu kuoa,
Kuna wakuolewa sasa, ukibahatika huyu, mzee oa fasta, acha akili za nyege jitulize.
Wataelewa wenye fikra tu.Wasipokuelewa basi.
Bora uwaambie.Na mnaoongoza kwa kulalamika Ni wanaume,, mkomeee na bado
Wenzio wanaoa wa kupiga nao picha kutupia status,na kujirekodi video tiktok[emoji3]We yamekukuta shauri yako, sie wenzio tushatomba saana, tushafanya uhuni saana, mwishowe tumeona muhimu kuoa.