Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

kweli kabisa dah
 
Boss mi Niko JF tokea 2018 ila ndio Raisi wa wakataa NDOA duniani...
Unataka kusema kwamba wake zenu hamgongewi?
Unataka kusema Ndoa hazina usaliti?

#YNWA
 
No bipolar cause no one is hopeless.

Ila mkiwa hamna hoja mkaona mtumia negativity kutetea hoja zenu basi, hayo maneno ya pessimism yooteee tutayapokea.

Ila in nutshell "Hakuna kuoa kwasababu hakuna maana yoyote. Humo ndani Kuna kutombew-a, kulea watoto wasio wako, kufilisiwa na mengine kibaoooo"

#YNWA
 
Unasema bila aibu kwamba hutoingia kwenye ndoa (hutaoa) ila utazalisha watoto uwalee mwenyewe!!

Hivi unajua maumivu wanayoyapta watoto hao wewe??

[emoji16]kama wewe ungelelewa katika mazingira kama hayo unayoyafikiria kuwalea wanao, usingethubutu kuwaza hayo!

Maamuzi yako ya kukataa ndoa ni kwa faida yako wewe(ubinafsi), hakuna mtoto atafurahia kulelewa na mzazi mmoja au wazazi kutengana kwa namna yoyote ile, tena ni ukatili!

Wewe umelelewa na baba na mama pale nyumbani ukiwa unajimwayamya utakavyo, hujuwi ulisemalo;
Watafute waliolelewa na mzazi mmoja wakueleze ni jinsi gani wameathirika kisaikolojia.

KATAA NDOA, USIZA£/ZALISH£
 
Mtu yoyote anayekataa ndoa bila shaka ametokea katika familia ya ajabu kimalezi na hana maadili wala hofu ya ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…