Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
NAZIDI KUKAZIANAKAZIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAZIDI KUKAZIANAKAZIA
kweli kabisa dahNyuzi ambazo zimezidi humu ndani ni za usaliti. Naona hii ni mikakati ya lazina iliyoratibiwa na wale KATAA NDOA.
Na wanafanya hivyo kimakusudi ili kuleta taharuki kwa vijana ambao bado hawajaoa na kubadili mwelekeo.
Mbaya zaidi, nyuzi hizo zinaletwa na ID mpya kila uchwao. Joined 29 May, alafu tar 31 May, utasikia nilimsaliti mume wangu. Kanikuta nabanjuliwa kwa mpalange.
See? Anayetegemea kuoa anapata pocha gani?
Kuna propaganda inaendelea humu jukwaani. Na kwenye uzi wana-tag-iana kwa wingi.
hahahah piga chini huyoMke anininyima unyumba halafu hataki nichepuke
Nawewe mnyime Hela ya kula halafu mzuie asile kwa watuMke anininyima unyumba halafu hataki nichepuke
Boss mi Niko JF tokea 2018 ila ndio Raisi wa wakataa NDOA duniani...Nyuzi ambazo zimezidi humu ndani ni za usaliti. Naona hii ni mikakati ya lazina iliyoratibiwa na wale KATAA NDOA.
Na wanafanya hivyo kimakusudi ili kuleta taharuki kwa vijana ambao bado hawajaoa na kubadili mwelekeo.
Mbaya zaidi, nyuzi hizo zinaletwa na ID mpya kila uchwao. Joined 29 May, alafu tar 31 May, utasikia nilimsaliti mume wangu. Kanikuta nabanjuliwa kwa mpalange.
See? Anayetegemea kuoa anapata picha gani?
Kuna propaganda inaendelea humu jukwaani. Na kwenye uzi wana-tag-iana kwa wingi.
No bipolar cause no one is hopeless.Kumbe kuna tofauti kati ya Ndoa na Kukataa Kuoa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋
NDOA YA DINI + NDOA YA MILA = NDOA NA KUKATAA KUOA..Aisee🐒
Sasa nimewaelewa vizuri waendesha hii kampeni.. Bipolar is real 🤦
Umepotea sana mkuuNaunga mkono hoja mkuu
mnyoge yupi sasa?!Sawa mtetezinwa wanyonge
kivipi? Mimi nazungumzia watoto, sijuwi wewe uko wapiBila shaka Mwanetu sisteri wamembamiza.
shida watu wanataka wapate watoto, alafu mama zao hawawataki!Wewe piga miti bhana. KATAA NDOA