Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kwanza kabisa natuma salamu kwa wanadoa wote wanaoziheshimu ndoa zao na kuvumilia changamoto zote za ndoa

pili salamu zangu ziwafikie wale wote wanaozikimbia ndoa zao na kutelekeza watoto, kwakufanya hivyo wamethibitisha kuwa Mungu alikosea kuwaumba jinsia ya kiume.
𝐔𝐉𝐔𝐌𝐁𝐄
𝑴𝒏𝒂𝒐𝒕𝒆𝒔𝒆𝒌𝒂 𝒏𝒂 𝒏𝒅𝒐𝒂 𝒎𝒔𝒊𝒕𝒖𝒕𝒊𝒔𝒉𝒆 𝒔𝒊𝒔𝒊 𝒗𝒊𝒋𝒂𝒏𝒂 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒐𝒕𝒂𝒓𝒂𝒋𝒊𝒂 𝒌𝒖𝒐𝒂 𝒔𝒐𝒐𝒏, 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒂 𝑵𝒅𝒐𝒂 𝒏𝒂 𝒃𝒂𝒓𝒂𝒌𝒂 𝒛𝒂𝒌𝒆 𝒏𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒎𝒐𝒕𝒐 𝒛𝒂𝒌𝒆 𝒑𝒊𝒂, 𝒂𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆𝒏𝒊
 
Siyo lazima kuoa - hasa siku hizi!

Narudia tena siyo lazima kuoa!
 

AMEN. Mungu na akufanyie sawasawa na uonavyo nafsini mwako.
 
Aoe mke wa pili
 
Sema NN,mkuu,haya mambo buana we Acha Tu,kuna dada nimezaa nae ,mm kanda yaziwa yy,kusini,SASA anahitaji aje kwangu ili tulee mtoto japo aache kunyonya ili kila MTU anedelee nahamsini zake ,tatizo nihayo makelele yanayoambatana naugomvi mkubwa kiasi cha kuweza kuumizana mwili,
Hapa nawaza Sana,mtoto nahitaji nimlee nasiwezi kumlea bila yy,huku nikiwaza nitakabiliana nae vipi juu ya magomvi nnamaneno ambayo kiukweli Kwanza anaeongelea juu,Hadi najirani wanasikia ,napia anaweza kukudhalilisha mbele yawatu ,yy anadai amebadilika utoto umeisha Ila,duuu
 
Ila kikweli ndoa nyingi zinadumu kwa sababu ya watoto wasipate tabu, lakini yale mapenzi yaliyowakutanisha yalishazama na Mv. Bukoba
True mkuu,yaani wanasailolojia,sijui wachungaji hawafanyi KAZI Yao inayotakiwa
 
Duuu,hard way is the only way!
 
Fafanua zaidi mkuu ,tupate nadini kutoka kwako,umeuficha Sana ujumbe wako
 
Sisi tunaoa na tunakula raha kama kawaida.

Msikurupukie kuoa, mtaoa majini yatawafyonza damu, shauri yenu.
Inawezekanaje uone nabado unakula maisha mkuu,tupe mbinu zakivita nahatutaki kukurupa ,natanguliza shukrani
 
Kwani aliekuambia usipo oa ndio maisha yako yanakuwa tulivu raha na starehe kila siku ni nani.???.ww unadhani wazinifu hawauniani au hawagombani?? Ni maisha ya kawaida tu hayo. Ni mitihani ya kawaida ambayo mnaweza kukaa chini na kusolve yakaisha

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…